Correction : Ni wale ambao wameingia na watu sahihiFaraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage.
Babati mbaya kuna hakuna reverse gai.
Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
Kwani ni lazima, go get your life buddy,,,, ! Mkiona mmeshindwana kiastaarabu tenganeni,,, kuna upuuzi ety ooh tumezaa watoto,,,, ! Mnabakia kuishi kama vile waganga wa kienyeji,,,, !
Ndo maana wenzetu mataifa yaliyoendelea wana ndoa za mikataba
Kila mtu abaki na Ndoa yake sioni kama ni Busara kuja apa na kuifanya ndoa yako ndio iwe mfano wa ndoa za wengine.Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage.
Babati mbaya kuna hakuna reverse gai.
Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
Wanavumilia sana... uvumilivu mkuuSema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
mama yako alokuzaa ndo mpumbavu, !