Wanaoisifia ndoa ni wale ambao hawajaingia

Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage.
Babati mbaya kuna hakuna reverse gai.

Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
Tafuta hii nyimbo usikilize kwa utulivu..
Lukas Graham- 7 years
 
580aa9a5-7c6c-400a-a9fc-03f5820a29e5.jpeg
 
Kila kitu ukiwa nje ya chenyewe huwa ni kizuri sana. Kwasababu kwenye kuvuta picha ya hicho kitu unapata tu mazuri yake. Mwanandoa wa kwenye fikra ni mtiifu, anakusikiliza, anakuunga mkono kwa kila kitu, anakupenda, hakusaliti anapenda ndugu zako na anasifa kubwa katika jamii. Sasa huyo mtu kwanini usiipende ndoa. Ingia sasa uone hakuna hata kimoja nilichokitaj hapo utakipata. Mi niko kwa ndoa kwakuwa mama anasema ubachara ni uhuni. Yaani ndoa yangu walinzi ni wazazi wangu na wengi tupo hapo
Pole Sana mkuu
 
Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage.
Babati mbaya kuna hakuna reverse gai.

Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
Pole Kaka tulikwambia lakini huyo demu sio. We ukatuchana kwamba hayatuhusu tusiingilie mapenzi yenu.

Kazi hiyo sasa.
Wengine tuko happy vibaya mno.
 
Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage.
Babati mbaya kuna hakuna reverse gai.

Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
Ndoa sio hitimisho la safari ya mapenzi, ni mwanzo wa safari ya upendo kila siku. Zaidi siku ambazo hautamani kumsikia akipumua karibu yako
 
Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage.
Babati mbaya kuna hakuna reverse gai.

Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
Ndoa ina changamoto kama ilivyo katika maisha mengine ya kazi, uongozi, biashara na nk...

Kama uliingia ndoani kwa kutarajia mazuri pekee basi ndoa haikufai.
 
Back
Top Bottom