Wanaoisifia ndoa ni wale ambao hawajaingia

Tafuta hii nyimbo usikilize kwa utulivu..
Lukas Graham- 7 years
 
Pole Sana mkuu
 
Pole Kaka tulikwambia lakini huyo demu sio. We ukatuchana kwamba hayatuhusu tusiingilie mapenzi yenu.

Kazi hiyo sasa.
Wengine tuko happy vibaya mno.
 
Ndoa sio hitimisho la safari ya mapenzi, ni mwanzo wa safari ya upendo kila siku. Zaidi siku ambazo hautamani kumsikia akipumua karibu yako
 
Ndoa ina changamoto kama ilivyo katika maisha mengine ya kazi, uongozi, biashara na nk...

Kama uliingia ndoani kwa kutarajia mazuri pekee basi ndoa haikufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…