Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Itarushwa live usijipe pressure na mleta mada utawaona liveMohamed Said ukipata nafasi ya kualikwa usiache kutuletea yatakayojiri huko
Nasikia wako mia tisa. Kesho nitasogea pale mlimani city nikawaone aiseeWazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.
kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama.....
hao wengene fuatamkumbo tu.Nasikia wako mia tisa.kesho nitasoge pale mlimani city nikawaone aisee
Enzi za Nyerere walikuwa ni wazee waliowapokea wapiganiaji wa uhuru na kuwaunga mkono kwenye harakati zao.Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao .
Natanguliza shukrani .
AhahahahahahNi wanaume wa dar waliozeeka.
ππππNinaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao .
Natanguliza shukrani .
Na sijui nani huwa ana waalika, nadhani ni makada wa CCMNinaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Lengo ni kuungwa mkonoEnzi za Nyerere walikuwa ni wazee waliowapokea wapiganiaji wa uhuru na kuwaunga mkono kwenye harakati zao.
Ila kwasasa ni kundi tu la wazee ambalo kama Rais ana lolote la kuzungumza wanatafutwa, anazungumza na taifa kupitia kwao...
Upo sahihiNi wanachama wa chama cha mapinduzi, hakunaga wazee wa dar ambao ni mchanganyiko wa vyama. utawaona kesho wamevaa kijani, na ili msiwashtukie watakatazwa kuvaa nguo za chama. vinginevyo Rais angekuwa anawaomba kila chama kiwasilishe majina ya wazee watakao udhuri akikao
Kuna siku nilimsikia Askofu Kakobe ( enzi hizo ) akisema alishawahi kualikwa lakini alivyoenda akakuta kazi yao ni kusikiliza tu na kupiga makofi.Ni wanachama wa chama cha mapinduzi, hakunaga wazee wa dar ambao ni mchanganyiko wa vyama. utawaona kesho wamevaa kijani, na ili msiwashtukie watakatazwa kuvaa nguo za chama. vinginevyo Rais angekuwa anawaomba kila chama kiwasilishe majina ya wazee watakao udhuri akikao