kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
umenikumbusha kituWazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.
kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama.
KILA FALME INA KINGA YAKE, UTARATIBU WAKE NA UTAMADUNI WAKE.
Ludi na ukasome uzi wa historia ya mwenge wa uhuru wanzilishi wake na historia yake. Halafu ndio utajua wazee wa dar ni kinanani kwenye Tanzania hii.