Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?

ndio wenye Tanzania....Dar es salaam ndipo inapatikana Saigoni....wazee wa saigoni ndio wenye mipango yote ya nchi hii aka hawakwepeki....
Saigoni ndo Nini
 
Mwendazake akajifanya kuanzisha kundi lake la Wazee wa Dodoma akawakacha Wazee wa Dar es Salaam,kilichompata mara ya mwisho kukanyaga Dar kila mtu anakijua tena alikuja kwa Mbwembwe kuvunja Jiji.
 
Huwa hawafi
 
1. Je, hao wazee wanapatikana Dar tu au wapo kila mkoa?
2. Je, wa Dar ndio muhimu kuliko wa mikoa mingine?
Ndio maana ulitolewa ushauri wa kuitafuta historia ya Mwenge. Dar ndipo palipoleta vuguvugu la Uhuru unaojivunia sasa, si mikoa mingine. Na kwanza wakati huo haikuwepo, na zaidi huko nje ya Dar palikuwa na mifumo ya kitawala ya kichifu zaidi ambayo isingelikuwa rahisi hata Mwalimu aliiondoa.
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Ina maana wao hawafi!!
kila utawala wapo!?
 
Ni wacheza bao na kunywa kahawa pia hupenda kuvaa misuli.Ila kesho watavaa suruali na wewe paka dawa ya mvi utaingia na zile kobazi zako
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Covid itawamaliza wakitoka hapo. Immune system zimeshashuka bora wasikutane Covid variant ya India itawateketeza maana wahindi watakuwemo. Pia Ukiangalia wazee wengi wa dar walikuwa wapiga debe wa uda, wafagizi wa wahindi, kamanda yoso, wezi, wapiga chabo, taperi, enzi za ujana wao, ni kama leo vijana wengi walivyo maadili zero nao wataitwa wazee muda ukifika, ukitaka wazee wenye busara nenda Mara , mbeya, usukumani, uchagani, unaweza pata wazee wa kukupa ushauri maana wengi wamelelewa kwa misingi imara ya kiutu pia wafantakazi sana siyo lelemamama Kama wa dar. Siyo watu wa vijiweni, kila saa kahawa wanawake ndiyo waleta chakula. Hivyo hao 900 sijui kama atapata mawazo mazuri. Warning Covid itawapukutisha.
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Wakati mwl nyerere anakutana na hao wazee wa dar,walikuwa kina nani?
 
Saigoni na shibam ndo vitu gani ?
Hivyo ni vijiwe nguli vya wazee wa dar,wazee wa mjini
Humo kuna mjumuiko wa wazee maarufu,viongozi wa zamani,waliyostaafu
Wazee wa kawaida wanamipango balaa
Connection zote wanazijua

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…