Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Ery...Shukrani sana Mohamed Said
Afwan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ery...Shukrani sana Mohamed Said
Saigoni ndo Ninindio wenye Tanzania....Dar es salaam ndipo inapatikana Saigoni....wazee wa saigoni ndio wenye mipango yote ya nchi hii aka hawakwepeki....
Saigoni na shibam ndo vitu gani ?Wazee wa saigon na wazee wa shibam
Hii itawahusu
Ova
Sisi Watoto wa Mjini ndio tunafahamu,wewe Wakuja haikuhusu.Saigoni na shibam ndo vitu gani ?
Wazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.
kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama.
KILA FALME INA KINGA YAKE, UTARATIBU WAKE NA UTAMADUNI WAKE.
Ludi na ukasome uzi wa historia ya mwenge wa uhuru wanzilishi wake na historia yake. Halafu ndio utajua wazee wa dar ni kinanani kwenye Tanzania hii.
Ndio maana ulitolewa ushauri wa kuitafuta historia ya Mwenge. Dar ndipo palipoleta vuguvugu la Uhuru unaojivunia sasa, si mikoa mingine. Na kwanza wakati huo haikuwepo, na zaidi huko nje ya Dar palikuwa na mifumo ya kitawala ya kichifu zaidi ambayo isingelikuwa rahisi hata Mwalimu aliiondoa.1. Je, hao wazee wanapatikana Dar tu au wapo kila mkoa?
2. Je, wa Dar ndio muhimu kuliko wa mikoa mingine?
Ina maana wao hawafi!!Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Covid itawamaliza wakitoka hapo. Immune system zimeshashuka bora wasikutane Covid variant ya India itawateketeza maana wahindi watakuwemo. Pia Ukiangalia wazee wengi wa dar walikuwa wapiga debe wa uda, wafagizi wa wahindi, kamanda yoso, wezi, wapiga chabo, taperi, enzi za ujana wao, ni kama leo vijana wengi walivyo maadili zero nao wataitwa wazee muda ukifika, ukitaka wazee wenye busara nenda Mara , mbeya, usukumani, uchagani, unaweza pata wazee wa kukupa ushauri maana wengi wamelelewa kwa misingi imara ya kiutu pia wafantakazi sana siyo lelemamama Kama wa dar. Siyo watu wa vijiweni, kila saa kahawa wanawake ndiyo waleta chakula. Hivyo hao 900 sijui kama atapata mawazo mazuri. Warning Covid itawapukutisha.Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Benua midomo Kama demu
Wakati mwl nyerere anakutana na hao wazee wa dar,walikuwa kina nani?Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Hivyo ni vijiwe nguli vya wazee wa dar,wazee wa mjiniSaigoni na shibam ndo vitu gani ?
Sisi wa mikoani ya huko dar tunaskia machache tuDuh ina maana hufahamu
Ova
Sisi wa huku mikoani hatuwezi kuyajua hayo bila nyinyi watu wa mjini kusemaSisi Watoto wa Mjini ndio tunafahamu,wewe Wakuja haikuhusu.
Hakuna wazee hapo ni genge la matapeliNi makada wa ccm