Wazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.
kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama...
Mavazi yao watakayovaa na usafiri ulioandaliwa utakapoanzia uatakupa jibu.Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
wakifa kuna wanaorithi.Huwa hawafi
Maana to ukoloni wapi wanarithishana nafasiwakifa kuna wanaorithi.
Utawaoana hiyo kesho kwenye TV
Ni sisi wazee wote tunaoishi Dar es Salaam na tulio na umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea. Mimi pamoja na mjukuu wangu JK, Rais wa awamu ya nne, ni mojawapo ya wazee haoNinaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
1. mashehe wa misikitiNinaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Wazee gani geresha tu hawa makada wa CCM huko mitaani kubadili jina wazee kupoteza malengo hawa madalali na makada watiifu na fitna za mitaani huoni walivyochoka. kuna wengine hapo hata 45 hawafiki basi maisha yamewapiga tu. wazee kweli hawezi kukaa masaa mawili hajalala.Ikulu iko dar au Dodoma,je Dodoma hakuna wazee?
Utajuaje yawezekana ndege wangu ni wewe hapo.Nakufukuzia ndege wako ee
Hapa Mwanza yupo Mzee Kafiti. Anakaa Nyakato National. Kama wewe ni Mtumishi wa Serikali na ukatofautiana nae, unapata uhamisho wa ghafla na unalipwa stahili zako zote za uhamisho kiasi kwamba unashindwa kujua kama umeonewa au umependelewa!
π§π»ββοΈπ§π»ββοΈπ§π»ββοΈ Yaan unaogopa uzee sana etiUtajuaje yawezekana ndege wangu ni wewe hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] siogopi hata kidogo .uzee ni baraka.[emoji3320][emoji3320][emoji3320] Yaan unaogopa uzee sana eti
Wale wanaoendaga pale Airport kupeperusha vibendera wageni wakija huwa wanatolewa wapi,?1. mashehe wa misikiti
2. wenyeviti wa matawi yote CCm DAr.
3. Makada wastaafu wa CCM.
4. Wachungaji kama akina Mashimo na wenzao.
5.MATAGA wazee