Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?

Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?

Wazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.

kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama...

yaani kuna uhusiano mkubwa sana wa akili na kukosea kuandika maneno

dharau? ni neno la wapi?

JPM ndio alikuwa anazabaga vibao vitu kama hivi
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Mavazi yao watakayovaa na usafiri ulioandaliwa utakapoanzia uatakupa jibu.
CCM ndicho chama pekee chenye wazee Dar es Salaam na hii ianatokana na chama chenyewe kuwa kimezeeka.
 
Hii nayo ni thread basi sawa utawaona saa 8 tega mlimani pale kama uko Dar
 
Na kwanini ni wazee wa dar tu na siyo sumbawanga au tanga
 
Wazee wenzee basi wako na hili fagio la corona limeondoka na wengi kweli haya mabakibaki ya wazee tu wale wenyewe original wameisha hawa wazee wa mapambio. Nilitegemea kuhutubia nchi kupitia moja ya chuo yaani vijana sababu ndio future ila sichukulii kwa muhimu sana sababu lengo ni kuhutubia taifa ila kupitia kwa wanaoitwa wazee kikubwa sitegemei mashati ya kijani nategemea wamepewa muongozo wa dress code.
 
binafsi hilo sijui!!🤣🤣🤣

lakini ni mzee gani huyo asiye na ruhusa ya kuonya au kukaripia?!!!!!
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Ni sisi wazee wote tunaoishi Dar es Salaam na tulio na umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea. Mimi pamoja na mjukuu wangu JK, Rais wa awamu ya nne, ni mojawapo ya wazee hao
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
1. mashehe wa misikiti
2. wenyeviti wa matawi yote CCm DAr.
3. Makada wastaafu wa CCM.
4. Wachungaji kama akina Mashimo na wenzao.
5.MATAGA wazee
 
Ikulu iko dar au Dodoma,je Dodoma hakuna wazee?
Wazee gani geresha tu hawa makada wa CCM huko mitaani kubadili jina wazee kupoteza malengo hawa madalali na makada watiifu na fitna za mitaani huoni walivyochoka. kuna wengine hapo hata 45 hawafiki basi maisha yamewapiga tu. wazee kweli hawezi kukaa masaa mawili hajalala.
 
Khaaaah! Noma sana Hawa Wazee
Hapa Mwanza yupo Mzee Kafiti. Anakaa Nyakato National. Kama wewe ni Mtumishi wa Serikali na ukatofautiana nae, unapata uhamisho wa ghafla na unalipwa stahili zako zote za uhamisho kiasi kwamba unashindwa kujua kama umeonewa au umependelewa!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
1. mashehe wa misikiti
2. wenyeviti wa matawi yote CCm DAr.
3. Makada wastaafu wa CCM.
4. Wachungaji kama akina Mashimo na wenzao.
5.MATAGA wazee
Wale wanaoendaga pale Airport kupeperusha vibendera wageni wakija huwa wanatolewa wapi,?
 
Back
Top Bottom