Wanaojifanya wazee wa Yanga waliolipwa na Mo Dewji kuivuruga Yanga wajitokeze hadharani

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Hizi propaganda zisizo na maana zenye malengo ya kuvuruga soka la Tanzania linapaswa kupingwa na kukemewa vikali. Hakuna mzee wa Yanga mwenye akili timamu, akatoa pesa mfukoni, maana kufungua na kuendesha kesi inahitaji nguvu ya mwili na pesa, Ukiachilia mbali mafanikio yaliyopatikana ndani ya Yanga kutoka club namba 79 kwa ubora Afrika mpaka namba 9 ndani ya muda mfupi, mtu mwenye akili timamu atumie gharama zake, muda wake, nguvu zake kwenda kupingana na mafanikio hayo! Kichwani akijua kabisa kwamba hakuna asiyemtaka Hersi kusalia Yanga! Jeuri hii inatokea wapi? Nguvu hii inatokea wapi? Pesa hii inatokea wapi? Ni muda wa wanayanga kuwa Imara na kukemea ikibidi kuwafuta uanachama baadhi ya mamluki wanaoonyesha kupokea hongo ili kuhujumu timu.

#DaimaMbele #NyumaMwiko
GSN8PXmXcAET01y.jpeg
 
View attachment 3044401
Hili suala mnalikuza tu sioni ukubwa wake. Ni kama watu walivyomdharau Kilomomi na akasahaulika. Mkilikalia kimya litapita kama upepo wala Hakuna haja ya kushoboka nalo. Niliwahi kuandika kuhusu Kilomoni mashabiki wa Yanga mkaniahambulia. Leo mnasema Mo anamtuma Juma Magoma na kakikundi kake. Hii si kweli, Magoma ni njaa zake na hasira za kukosa kutambuliwa na kunyenyekewa. Wazee wa Kiswahili wasiojitambua walizoea kulelewa kama watoto, Sasa hiyo nafasi wamenyimwa lazima usikie mlio wao. Jiulize mchango wa Juma Magoma ndani ya Yanga hata kabla ya uwekezaji wa GSM kama aliwahi hata kutoa mlo mmoja Kwa Wachezaji.
 
Ni kawaida au tumezoea hizi klabu 2 huwa hazina mafanimio ya kudumu.Bado vichwa vyetu vizito kujifunza kwa wenzetu. Al ahly ya misri itabakj kuwa klabu bora afrika.
 
Hakuna kitu sipendi kama kunyoshea watu vidole kwa matatizo yako mwenyewe.

Huyo MO akikushtaki uleta ushahidi una cha kumlipa au ndio utabaki unajambajamba tu?
 
Hizi propaganda zisizo na maana zenye malengo ya kuvuruga soka la Tanzania linapaswa kupingwa na kukemewa vikali. Hakuna mzee wa Yanga mwenye akili timamu, akatoa pesa mfukoni, maana kufungua na kuendesha kesi inahitaji nguvu ya mwili na pesa, Ukiachilia mbali mafanikio yaliyopatikana ndani ya Yanga kutoka club namba 79 kwa ubora Afrika mpaka namba 9 ndani ya muda mfupi, mtu mwenye akili timamu atumie gharama zake, muda wake, nguvu zake kwenda kupingana na mafanikio hayo! Kichwani akijua kabisa kwamba hakuna asiyemtaka Hersi kusalia Yanga! Jeuri hii inatokea wapi? Nguvu hii inatokea wapi? Pesa hii inatokea wapi? Ni muda wa wanayanga kuwa Imara na kukemea ikibidi kuwafuta uanachama baadhi ya mamluki wanaoonyesha kupokea hongo ili kuhujumu timu.

#DaimaMbele #NyumaMwiko
View attachment 3044401
Nyie nyuma mwiko hata mkishindwa kuwafikisha wake zenu kileleni mtamsingizia Mo Dewji, aibu yenu hii. Juma Magoma kwani kaanza leo kuhoji mambo yasiyoeleweka huko Yanga au wewe mleta hoja hii umeanza kuishabikia Yanga baada ya GSM kuingia Yanga? Malizeni matatizo yenu ya ndani bila kuhusisha watu wasiohusika.Nina uhakika hata wana Yanga wenye kujitambua wamekudharau sana kwa huu utopolo ulioandika.
 
Back
Top Bottom