WANAOJISIFU NI WATENDA HAKI, KUMBE WAO NDIO WAPINDA HAKI KULIKO

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,680
Reaction score
6,382
Angalia sana kila anaejisifu na kujidai kutenda haki, sio wote wapo kama wasemavyo,
Huku wanasema hivi na kule wanasema vingine,
Chukua tahadhari sana
Ikibidi chambua sana mpaka upate kitu safi 100% halafu ndio uunge mkono
Wengi huwenda kwa maslahi yao zaidi
Angalieni wasiwapoteze
Haki hutendwa na wacha mungu wa kweli sio hawa marafiki wa mabeberu
Kila siku kutembelana na kujidai kupigania haki huku wakiziba watu midomo kutoa maoni na mawazo yao
Salam zao
Uhaini haulipi
 
Inabidi kutulia sana.. ishu kama hzi hutakiwi kuwa na haraka.. utaangukia pua
 
Back
Top Bottom