Wanaojiuza Zanzibar yadaiwa wanatoka Bara na Kenya. Wanunuzi watoka wapi? Na soko kwa nini liwe Zanzibar?

Wanaojiuza Zanzibar yadaiwa wanatoka Bara na Kenya. Wanunuzi watoka wapi? Na soko kwa nini liwe Zanzibar?

Bahati mbaya sana wanalaumiwa wauzaki tu.wanunuzi ahh
Huku bara viongozi wetu ama kwa kujua au uchawa mara kadhaa wamekuwa wakiitangazia dunia jui ya vita hii lakini hawatangazi mshindi au mwisho wake mfano makonda na chalamila
Wanachokifanya wazanzibar Leo ni matokeo ya matamshi ya Hawa mambumbu waliovishwa uheshimiwa
 
Hamjambo!

Maswali kama nilivyouliza.

Kama wanaojiuza wanatoka Bara na Kenya, je wanunuzi wanatoka wapi?
Na kwa nini Zanzibar iwe soko la biashara hiyo?

Huwezi fungua soko la Dhahabu Iringa.
Wala huwezi fungua Soko la Viazi Mwadui.

Soma Pia: Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya
Wanunuzi wanatoka bara, kenya pia na ulaya. Mana wadada wa k3nya bei za hata mm nashindwaga sometimez! Kiufupi wengi wanavizia wazungu. Na expensive bitch ni wakenya
 
Uhuni na uzushi.... kule wanajiuza sana tu..... wanavaa mahijabu yao, wakifika eneo la tukio wabadili nguo vanavaa kikazi sasa !

Tena zanzibar ni makao makuu ya kwenda huko matopeni ..... wanatoa ndogo kuliko hata bara
 
Zanzibar high season huwa haikamatiki, ukishuka kwenye fukwe za paje kule halafu ukapiga picha ukamtumia mtu na kumwambia uko mbele ni ngumu kubisha coz ni wadanta tu wanakua wamezagaa ufukweni so soko ndio liko hapo.

Zanzibar ukifanya research ya haraka haraka utagundua hata wale wanaovaa kimasai wengi wao ni wakenya wako kule kwaajili ya kuvua madodo😅😅.

Lakini pia ukienda club za usiku utagundua wadada wengi wanaojaa kwenye zile sehemu walio wengi kiasili sio wazawa wa pale visiwani so ni either wamevuka mipaka au wamevuka maji.
 
Wanunuzi ni watalii,mbona rahisi tu!!
 
Kuna wajinga serikalini na nje ya serikali wanawatumia wazanzibari kuleta mgawanyo wa mawazo, wanataka waendelee kututeka na kutuua kizembe.

Wapuuzi kabisa.
 
Hakuna watu wanafiki kama watu wa hicho kisiwa!,Wao wanajiona ni watu spesho kuliko watu wote Duniani!
 
Uhuni na uzushi.... kule wanajiuza sana tu..... wanavaa mahijabu yao, wakifika eneo la tukio wabadili nguo vanavaa kikazi sasa !

Tena zanzibar ni makao makuu ya kwenda huko matopeni ..... wanatoa ndogo kuliko hata bara
Hongera sana kwa kuchezea tope
 
Back
Top Bottom