field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Wanalaumiwa wauzaji, lakini wanunuzi hawalaumiwi. Ina maana kwamba wauzaji ndiyo wenye makosa , lakini wanunuzi wana haki kwa sababu wanatoka kwa masheha? Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa, sasa mbona hiyo serikali ya wajinga wanalaumu wauzaji.....VIPI KUHUSU WANUNUZI?????Hamjambo!
Maswali kama nilivyouliza.
Kama wanaojiuza wanatoka Bara na Kenya, je wanunuzi wanatoka wapi?
Na kwa nini Zanzibar iwe soko la biashara hiyo?
Huwezi fungua soko la Dhahabu Iringa.
Wala huwezi fungua Soko la Viazi Mwadui.
Soma Pia: Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya