Wanaojua Physics tafadhali njooni hapa

Wanaojua Physics tafadhali njooni hapa

Magnetism topic ya kikuda sana hii, sijawahi isoma na sijutiii kutoisoma....
Topic flani sikulipendaga toka olevel
Hii ilifundishwa huko O level Technical School pamoja na Angular Motion na Projectile Motion. Kwenda elimu za juu tukakutana nazo tena.
Kule kwenye Engineeerng Science tulifundishwa EMF(mambo ya electonics) na Magnetomotive Forces (MMF) katika Magnetic Fields. Kwa miaka hiyo(sijui kwa sasa) topic hii ya kwenda deep kwenye Magnetism, ilifundishwa sana shule za Sekondari za ufundi tu, na zilikua na Calculation ngumu sana, section B ya paper la Engineering Science kwa kutia kitabu cha Titcomb, na kiasi kidogo kwenye theory kitabu cha Abbott!
Unaweza kuona Tech School walisoma nini enzi hizo, ni kitabu nondo sana, tofauti na Physics hii kitu achana nayo

Hii ilifundishwa huko O level Technical School pamoja na Angular Motion na Projectile Motion. Kwenda elimu za juu tukakutana nazo tena.
Kule kwenye Engineeerng Science tulifundishwa EMF(mambo ya electonics) na Magnetomotive Forces (MMF) katika Magnetic Fields. Kwa miaka hiyo(sijui kwa sasa) topic hii ya kwenda deep kwenye Magnetism, ilifundishwa sana shule za Sekondari za ufundi tu, na zilikua na Calculation ngumu sana, section B ya paper la Engineering Science kwa kutia kitabu cha Titcomb, na kiasi kidogo kwenye theory kitabu cha Abbott!
Sikusoma tech mkuu....
Na mimi kichwa changu kipo hivi nikilichukia somo hata nifanyaje siwezi lifaulu....
Asa magnetism niliona ya kikuda ya wanao complicate maisha...
Nilichagua kwenda na electrostatic...hata ikaaje lazima ninyooshe....
Pia Atomic physics....lazima ninyooshe ko section B nilikuwa sikosi 30 kati ya 40 ( paper2 hiyo)
 
Jibu ni 19mV
😡
Tukuwekee na solution pia ....

1617460004380.png
 
From faradays law.
emf = rate of change of magnetic flux
so, emf =d/dt(magnetic flux)
emf = d/dt(6t2+7t)
= 12t + 7 but t=2sec
therefore emf = 12(2) + 7
emf = 31mV

(6t2+7) ndiyo nini???

(6t²+7)
 
If magnetic flux of 6t2 + 7t mwb what is the induced Emf in 2seconds!!!! atakaepata hil swali kuna zawadi nono itatolewa.
Kumbuka 6t2 ni six times t square

Welcome
Unasoma haya makitu alafu unaishia kusomea uhasibu.
 
If magnetic flux of 6t2 + 7t mwb what is the induced Emf in 2seconds!!!! atakaepata hil swali kuna zawadi nono itatolewa.
Kumbuka 6t2 ni six times t square

Welcome
Differentiate with respect to time then substitute t equal to 2
 
Back
Top Bottom