Hii ilifundishwa huko O level Technical School pamoja na Angular Motion na Projectile Motion. Kwenda elimu za juu tukakutana nazo tena.Magnetism topic ya kikuda sana hii, sijawahi isoma na sijutiii kutoisoma....
Topic flani sikulipendaga toka olevel
Kule kwenye Engineeerng Science tulifundishwa EMF(mambo ya electonics) na Magnetomotive Forces (MMF) katika Magnetic Fields. Kwa miaka hiyo(sijui kwa sasa) topic hii ya kwenda deep kwenye Magnetism, ilifundishwa sana shule za Sekondari za ufundi tu, na zilikua na Calculation ngumu sana, section B ya paper la Engineering Science kwa kutia kitabu cha Titcomb, na kiasi kidogo kwenye theory kitabu cha Abbott!
Unaweza kuona Tech School walisoma nini enzi hizo, ni kitabu nondo sana, tofauti na Physics hii kitu achana nayo
Fundamentals of Engineering Science
books.google.co.tz