Wanaokaa nje ya mji kipindi hiki huwa wana amani sana

Wanaokaa nje ya mji kipindi hiki huwa wana amani sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Wanaokaa nje ya miji zile athari zinazotokana purukushani za maandamano huwa haziwakumbi hata kidogo.

Maswala ya lockdowns , maduka kufungwa ,milio ya risasi, vitu kupanda bei kiholela, wao huwa wanasikia kwenye bomba.
 
Back
Top Bottom