Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Dec 9, 2025 #1 Wanaokaa nje ya miji zile athari zinazotokana purukushani za maandamano huwa haziwakumbi hata kidogo. Maswala ya lockdowns , maduka kufungwa ,milio ya risasi, vitu kupanda bei kiholela, wao huwa wanasikia kwenye bomba.
Wanaokaa nje ya miji zile athari zinazotokana purukushani za maandamano huwa haziwakumbi hata kidogo. Maswala ya lockdowns , maduka kufungwa ,milio ya risasi, vitu kupanda bei kiholela, wao huwa wanasikia kwenye bomba.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Dec 9, 2025 #2 Huku kwetu, mengi hatukushuhudia, ila vitu vilipanda bei, nyanya 1 kwa buku.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Dec 9, 2025 Thread starter #3 makaveli10 said: Huku kwetu, mengi hatukushuhudia, ila vitu vilipanda bei, nyanya 1 kwa buku. Click to expand... Leo pia vitu vimepandishwa bei, nyanya moja Tsh 500. Kilo ya nyama 17000
makaveli10 said: Huku kwetu, mengi hatukushuhudia, ila vitu vilipanda bei, nyanya 1 kwa buku. Click to expand... Leo pia vitu vimepandishwa bei, nyanya moja Tsh 500. Kilo ya nyama 17000
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Dec 9, 2025 #4 Hatari tupu.