Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.