1.mchina atumii loophole sana, mchina anajua how goverment officials are so corrupt, even wakivunja hizo laws ni wazito kufuatilia. Results: mtanzania mpaka apate shida , ndio wazinduke kutoka usingiziniTujibu haya maswali:-
1.Mchina ni mjanja anatumia loophole ya Sheria zilizopo,hata wewe ukienda U.S kwa vibali,Kuna Sheria inakuzuia kufanya biashara/kazi?
2. Unaweza weka hapa hio sheria specific iliyodescribe biashara za wazawa ni zipi?
3. Mchina anauza yeboyebo za shilingi 2000/=,Bei ya mzawa,kwa mtaji wa milioni 100,ila yeye anauza shillingi 1000/= na hata ukitaka pair 10 anakupa,ila mbongo mwenye mtaji wa milioni 50,ukitaka pair 20 anasema hauzi rejareja na anuza pair 2000/=..........onesha hapo mchina anavunja sheria ipi ya nchi,TRA,Brela,etc?
Hii ni new case aisee, dar wanalalamika watu wa kaskazini ni wageni? 🤣🤣🤣Kukaa hapa nchini kumekusaidia wewe kila siku kulalamika. Kwa spirit hii nilienda kufanya kazi mkoa fulani hapa nchini tukawa tunafanya recruitment ila wengi tuliajiri walikuwa watu kutoka kaskazini Dar sasa waenyeji wakaanza kulalamika kwamba tume recruit wageni 🤣🤣🤣🤣🤣
Umemshambulia jamaa bure kumbe wewe ndo huna kabisa exposure. Kuna wabongo kibao wana biashara China hasa hiyo ya migahawa. Achana na stori za vijiweni. Uhalisia hauko hivyo. Tuache uoga"Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania."
Wewe kama umesomea historia na ni mtafiti siamini kabisa hiyo Elimu yako, niliposoma hapo tu nimeogopa sana kuwa inawezekana ukawa na cheo kikubwa sana hii nchi lakini hujui chochote kimataifa.
Kwanza kabisa huijui China na hujui nchi zingine. Nenda leo hii Beijing ukafungue duka la kuuza nguo, au viatu au tu uende ukataka uwe dereva wa teksi au lori. Mgeni ni marufuku. Hizo kazi ni za mchina tu. Mgeni haruhusiwi. Kufungua mgahawa au kampuni na kufanya biashara reja reja lazima mchina afungue. Kuna special restaurant na Bar ambayo wewe unaweza kuruhusiwa kufungua na mchina ukawa mbia lakini kwa masharti kua unachouza ni cha nje ya nchi. Halafu visa, kupata visa ya kufanya kazi kama hizi unaota ndoto, hakuna visa ya mtu kama huyo.
Acha China, unajua kwa nini watu wengi hasa nchi masikini hawaruhusiwi kupata visa Kwenda huko kwao? Ni kua ukienda kule huwezi kurudi na utatafuta kazi na kazi hazitoshi. Ili kulinda watu wao hawaruhusu wageni kufika huko, hasa nchi masikini kwa sababu ni mizigo, kazi hazitoshi. Umewahi kufika Japani? Ulaya kote?
Wewe ni mwanahistoria mtafiti fake, na mpuuzi.
Nchi hii kweli ni nchi yenye wasomi wa Ajabu sana (kama kweli wewe ni msomi mtafiti).
Pwenti!Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Wewe ni kiazi kweli, uliyeshiba magimbi.Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Nakubaliana na hoja kuwa tunaishi katika dunia ya utandawazi, na kwamba watu kutoka mataifa mbalimbali wanapambana kutafuta riziki popote wanapoweza. Lakini pia ni muhimu kuelewa kuwa hoja ya watu kuhofia wachina sio tu kuhusu uwepo wao, bali ni athari zao kwenye biashara za wazawa na ushindani usio wa haki kutokana na mitaji yao mikubwa na fursa wanazopata.Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Vipi mkuu huko china na sisi tunaruhusiwa ?Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.