Globalization sio kuachiwa tu hovyo wafanye wanavyotaka. Hata kwao wanasheria kali zinazolinda biashara zao na watu waoNaona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Sasa mwalimu wa universal primary education, mwana siasa ambaye ni zao la mfumo mbovu WA, kuiba mitihani ataweza kuwa na mikakati ya muda mrefu na endelevu, zaidi ya kuwa chanzo cha familia isiyo jielewa.Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Watanzania wapi unawazungumzia hapa? kama wao wanasheria za kulinda biashara wa watu wao? Why sisi tusi enforce the same?Watanzania wala hawana shida, wanaopiga ukunga humu ni madalali wa hapo kariakoo baada ya wateja wao kugundua wanakochukua mizigo ya bei rahisi kutoka kwa wachina.... Wengine ni wahindi ambao tangu enzi ya nyerere wanawanyonya watanzania, sasa baada ya wachina kuja kuwafundisha biashara ndio tunasikia hizi kelele.... Hata kwenye cement wachina wanaomba watengeneze viwanda huku alafu washushe bei kitu ambacho wahindi wanaona kitawakimbiza
Wewe unasema umesoma UK, mimi nimekaa zaidi ya 6 yrs UK, Norway na Denmark then 6 yrs in the US. Fuatilia wanaofanya biashara za vyakula, nguo, nk Kama hawapo hadi wabongoGlobalization sio kuachiwa tu hovyo wafanye wanavyotaka. Hata kwao wanasheria kali zinazolinda biashara zao na watu wao
Is why huwez kuta kule mtanzania anauza mchicha, anachoma mahindi, au anafanya low level business ambazo zinafanywa na wazazwa.
Waje lakini sheria ifuatwe, kama kwao wanakuwa wakali why kwetu tuwachekee chekee wana breach sheria na mipaka ya kibiashara?
Nimesoma UK for miaka kadhaa, sijawahi ona mchina anaachiwa hovyo hovyo, kuna competition law 1998, enterprise act 2002
Zinavyolinda wafanya biashara wa ndani
Simu,sabufa,mzawa anauza 30% plus more ya market price,............unategemea utaweza shindana na mchina anayeuza 30% lower ikiwa wote bidhaa mumechukua sehemu moja na munalipa Kodi Moja,........unadhani malalamiko yangekuepo mchina angekua anauza vitu kwa bei juu?,kuliko mzawaGlobalization sio kuachiwa tu hovyo wafanye wanavyotaka. Hata kwao wanasheria kali zinazolinda biashara zao na watu wao
Is why huwez kuta kule mtanzania anauza mchicha, anachoma mahindi, au anafanya low level business ambazo zinafanywa na wazazwa.
Waje lakini sheria ifuatwe, kama kwao wanakuwa wakali why kwetu tuwachekee chekee wana breach sheria na mipaka ya kibiashara?
Nimesoma UK for miaka kadhaa, sijawahi ona mchina anaachiwa hovyo hovyo, kuna competition law 1998, enterprise act 2002
Zinavyolinda wafanya biashara wa ndani
Next time unaweza kutoa maoni yako bila kutuambia umesoma huko🤣🤣🤣coz hata migahawa ya waswahili ipo kila kona kote hukoGlobalization sio kuachiwa tu hovyo wafanye wanavyotaka. Hata kwao wanasheria kali zinazolinda biashara zao na watu wao
Is why huwez kuta kule mtanzania anauza mchicha, anachoma mahindi, au anafanya low level business ambazo zinafanywa na wazazwa.
Waje lakini sheria ifuatwe, kama kwao wanakuwa wakali why kwetu tuwachekee chekee wana breach sheria na mipaka ya kibiashara?
Nimesoma UK for miaka kadhaa, sijawahi ona mchina anaachiwa hovyo hovyo, kuna competition law 1998, enterprise act 2002
Zinavyolinda wafanya biashara wa ndani
Migahawa ipo lakin haiaachiwa tu wa roam free.Next time unaweza kutoa maoni yako bila kutuambia umesoma huko🤣🤣🤣coz hata migahawa ya waswahili ipo kila kona kote huko
I understand kwamba kuna greed inatembea among wafanya biashara? But mchina ndio jibu kwamba hamna regulation zingine?Simu,sabufa,mzawa anauza 30% plus more ya market price,............unategemea utaweza shindana na mchina anayeuza 30% lower ikiwa wote bidhaa munechukua sehemu moja na munalipa Kodi Moja,........unadhani malalamiko yangekuepo mchina angekua anauza vitu kwa bei juu?,kuliko mzawa
Ile hali ya kutaka kutajirika kwa haraka ndil inayowacost wabongo
Matapeli na madalali ndio wanalia zaidi
"Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Tujibu haya maswali:-I understand kwamba kuna greed inatembea among wafanya biashara? But mchina ndio jibu kwamba hamna regulation zingine?
Kwa hiyo kukaa kwako huko wala hakujakusaidia loloteWewe unasema umesoma UK, mimi nimekaa zaidi ya 6 yrs UK, Norway na Denmark then 6 yrs in the US. Fuatilia wanaofanya biashara za vyakula, nguo, nk Kama hawapo hadi wabongo
Nashangaa Tanzania inawazuia watu wake kuishi utandawazi!Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Glpbalisation haina maana kuwakaribisha wageni chumbani mka share kitanda cha chumbani!!!!Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu wengi kuhusu wao kukosa biashara za kufanya.
Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania.
Kila hatua ya maendeleo ina athari zake. Historia inatukumbusha kuwa tulianza kuishi kwenye koo, makabila, vijiji, nk. tulikumbatia mila na desturi zetu. Tulioa kutoka kabila letu tu. Ila kutokana na maendeleo mambo yamebadilika sana. Ilikuwa haiwezekani mzungu kuolewa na mweusi. Ila kwa sasa hivi mambo yamebadilika.
Kwa sasa dunia inaongelea GLOBAL CITIZENSHIP, wewe unapambana na ongezeko la wachina. Akili zako zimeganda. Nakushauri utoke nje ya nchi kwanza ukashuhudie watanzania wanafanya kazi gani uko badala ya kushupalia wachina. Nao wanajitafuta.
Nini kifanyike kuwaondolea watu wasiwasi?
1. Serikali ihakikishe watu wanapata elimu iliyo bora yenye viwango vya kimataifa. Watu wakiwa na elimu bora, watakuwa na confidence ya kupambania maisha popote duniani. Watanzania wengi hawana confidence. Nimeona confidence kwa wasomi wachache ambao wamesoma nje ya nchi, international schools, wachimbaji madini na WAVUTA BANGI aka wauza unga ndiyo wanajaribu kutafuta maisha popote duniani.
Wanaijeria, wakenya, waethiopia, wakongo, wahindi, wazungu, nk. wapo kila kona ya dunia na wanapambana kujijenga kiuchumi.
2. Serikali ielimishe jamii kuhusu athari za utandawazi na namna ya kukabiliana nao. Hapa ni pamoja na kuwahimiza watu waendelee kuwa wabunifu katika kazi au biashara zao.
Ongezeko la raia wa kigeni ni mafuriko.
Wewe umejipanga kushambulia elimu na kazi ya utafiti? Usiongee kwa ushabiki. Restaurants, bars za wafrika zipo nyingi tu, language classes, groceries, zipo nyingi sana. Wa Filipino, wa Thailand, etc wote wamejazana huko"Mimi kama mwanahistoria na mtafiti wa masuala ya maendeleo ya jamii nimeona ni vyema kuwakumbushe watanzania wenzangu kuwa tunaishi zama za utandawazi na haya tunayoyashuhudia ni athari zake.
Wachina wamekuwa labeled nadhani nikutokana na muonekano wao ambao ni rahisi kutambulika ila ikifanyika sensa vizuri utakuta wapo raia wa nchi mbali mbali ambao nao wanajihusisha na biashara au ajira ambazo zilipatakiwa kufanywa na watanzania."
Wewe kama umesomea historia na ni mtafiti siamini kabisa hiyo Elimu yako, niliposoma hapo tu nimeogopa sana kuwa inawezekana ukawa na cheo kikubwa sana hii nchi lakini hujui chochote kimataifa.
Kwanza kabisa huijui China na hujui nchi zingine. Nenda leo hii Beijing ukafungue duka la kuuza nguo, au viatu au tu uende ukataka uwe dereva wa teksi au lori. Mgeni ni marufuku. Hizo kazi ni za mchina tu. Mgeni haruhusiwi. Kufungua mgahawa au kampuni na kufanya biashara reja reja lazima mchina afungue. Kuna special restaurant na Bar ambayo wewe unaweza kuruhusiwa kufungua na mchina ukawa mbia lakini kwa masharti kua unachouza ni cha nje ya nchi. Halafu visa, kupata visa ya kufanya kazi kama hizi unaota ndoto, hakuna visa ya mtu kama huyo.
Acha China, unajua kwa nini watu wengi hasa nchi masikini hawaruhusiwi kupata visa Kwenda huko kwao? Ni kua ukienda kule huwezi kurudi na utatafuta kazi na kazi hazitoshi. Ili kulinda watu wao hawaruhusu wageni kufika huko, hasa nchi masikini kwa sababu ni mizigo, kazi hazitoshi. Umewahi kufika Japani? Ulaya kote?
Wewe ni mwanahistoria mtafiti fake, na mpuuzi.
Nchi hii kweli ni nchi yenye wasomi wa Ajabu sana (kama kweli wewe ni msomi mtafiti).
Kukaa hapa nchini kumekusaidia wewe kila siku kulalamika. Kwa spirit hii nilienda kufanya kazi mkoa fulani hapa nchini tukawa tunafanya recruitment ila wengi tuliajiri walikuwa watu kutoka kaskazini Dar sasa waenyeji wakaanza kulalamika kwamba tume recruit wageni 🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo kukaa kwako huko wala hakujakusaidia lolote