2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?
Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki wenzako waendelee? Unataka wawe na maisha mpaka lini?
Hoja kuwa ooh serikali imeuza eneo hilo kwa wawekezaji ili Wamasai wahamishwe haina mashiko hata kidogo. Jiulize hivi Wamasai wanaingizia serikali Sh. Ngapi kwa mwaka? Lakini kama kuna mwekezaji atalipa kodi, ataboresha ataajiri watz na kutengeneza mzunguko wa pesa.
Natamani sana nchi nzima iwe na mipango ya maendeleo na sio kuendekeza masikini, hakunaga masikini anaejenga nchi.