Wanaokataa Wamasai kuhamishwa wana ubinafsi mkubwa sana, siyo wazalendo

Wanaokataa Wamasai kuhamishwa wana ubinafsi mkubwa sana, siyo wazalendo

Ina maana hujui Livestock keeping inaaliingizia taifa kiasi gani kwenye GDP? Hivi leo tungekuwa tunaagiza nyama ya ng’ombe nje ingekuwaje? Au unawaza kwa kutumia makalio? Hao wawekezaji kwanini msiwapeleke huko Handeni kama ni pazuri sana?

Hao wamasai maisha yao ni culture yao, msilazimishe mtu aishi kimjini mjini wakati ameamua kudumisha mila na desturi zake.., kama utajiri wanao, wewe ndio unawaona masikini.
Wamasai utawahi tu,halafu wewe ni mmasai aishie mjini unakula bata tu halafu unawadanganya wenzako eti wanadumisha culture, wewe mbona umekimbia huko?Halafu ukute hata hiyo elimu uliyonayo umesomeshwa bure na Ncaa
 
Hivi mnawaonaje Wamasai nyie? Mnadhani ni masikini wasioweza kujenga hizo nyumba? Ni kwamba wako vizuri mifugo yao inaweza kuwafanya waishi watakavyo lakini wameua kudumisha mila na ndio asili yao.......! Hao jamaa kama diplomasia isipotumika watawasumbua sana...
Mtasumbua nani?Km wewe mwenyewe umewakimbia ndugu zako unaishi mjini,mtamsumbua nani,ngoja tusubiri kifatacho ITViiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2257421
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?

Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki wenzako waendelee? Unataka wawe na maisha mpaka lini?

Hoja kuwa ooh serikali imeuza eneo hilo kwa wawekezaji ili Wamasai wahamishwe haina mashiko hata kidogo. Jiulize hivi Wamasai wanaingizia serikali Sh. Ngapi kwa mwaka? Lakini kama kuna mwekezaji atalipa kodi, ataboresha ataajiri watz na kutengeneza mzunguko wa pesa.

Natamani sana nchi nzima iwe na mipango ya maendeleo na sio kuendekeza masikini, hakunaga masikini anaejenga nchi.
We kenge kweli kweli,serikali ikija ikakufulumusha hapo unaishi,ikupeleke sehemu nyingine ni sahihi?sababu zinazotumika kuwatoa wamasai ndio za uongo,Eti wanaharibu maisha ya wanysma,harafu eneo Tena anapewa mtu aje awinde wanyama,
Ushenzi wanaofanyiwa ni Sawa uwaambie wachaga waache kunywa mbege kwa vile siku Hz Kuna wine,na pombe za kisasa,maasai hayo ndio maisha yao,kuishi porini na wanyama.
 
Hahahah, kwani huyo Msigwa ni nani hadi akatae pesa, for the right price hata magoti hata atapiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu ni je, una ushahidi wa Kinana kujihusisha na ujangili utuletee, ili sheria ichukue mkondo wake?

Yesu ni Kristo
 
Bonge la point.
Watu hawajui kuwa masai ni matajiri.
Mtu anamiliki ng'ombe zaidi ya 3,000 atashindwa kujenga nyumba bora?
Kama wewe ni tajiri una ng'ombe 3000 halafu uishi maisha yale ya kimasai, unaona ni sawa? Ile ni laana ile.

Jesus is Savior
 
Utapelekaje kwenye hifadhi wewe!!! Yan ukajenge hospital kubwa mbugani,ujenge barabara za lami,yan unataka ujenge mji mbugani? Afu wanyama wataishi wapi? Si ndio kuwafukuza na kuua hifadhi yenyewe. Ndio maana wanahamishwa ili wawaachie wanyama.
Kwanini msiwapelekee hizo huduma za kijamii
 
W
We kenge kweli kweli,serikali ikija ikakufulumusha hapo unaishi,ikupeleke sehemu nyingine ni sahihi?sababu zinazotumika kuwatoa wamasai ndio za uongo,Eti wanaharibu maisha ya wanysma,harafu eneo Tena anapewa mtu aje awinde wanyama,
Ushenzi wanaofanyiwa ni Sawa uwaambie wachaga waache kunywa mbege kwa vile siku Hz Kuna wine,na pombe za kisasa,maasai hayo ndio maisha yao,kuishi porini na wanyama.
Kwenye mgogoro huu sitaki kuona mtu aliekimbia tamaduni yake akitetea,namuona kama zuzu? Ww umetoka Nanjilinji umeacha utamaduni wako unakuja kujifanya ni mtetezi wa tamaduni, anza kwanza na asili yenu.
Kwa kifupi waafrika tulikuwa na tamaduni mbalimbali,je ww unadumisha au ya kwako sio muhimu kama za Wamasai?
1. Kulala kwenye tembe
2. Kujisaidia vichakani
3. Kutokwenda shule
4. Kuabudu mizimu
Na kuvaa ngozi sasa nani anadumisha mpaka leo?
 
Habari Mtoa mada

Mimi sijawai kuuipinga serikali

Mimi ni mwanachama wa CCM kwa miaka mingi .
Hivyo siwezi kuuipinga hata siku moja

Ila hili la ngorongoro hapana

Uelewe jambo moja ktk nchi hakuna wilaya kame kama Handeni
Mimi ni.mfugaji inategemea maji na malisho yawe uhakika.

Ngorongoro ilikuwa sehemu ya uhakika kwa mifungo ambayo ndio uchumi wetu kwa miaka yote.

Mnataka kutudanganya eti nyumba
Tutakula nyumba .

Mkuu basic kubwa ktk maisha ni chakula sio ishu nyingine.

And nikutoe tongotongo

Kuishi kwenye nyumba ya tembe sio umaskini .

That is your decision and every one have is decision.

So jifunze .

Royal tour umefanya and one of attraction ni wamasai sasa mnawatoa yamkini hi project mmeshauriwa vibaya .
Umenyamazia maovu kisa wewe ccm, leo umeguswa unakuja kulalamika
Shetani hana rafiki
 
Wamasai nao watu mawazo yao yaheshimiwe
 
Hivi mnawaonaje Wamasai nyie? Mnadhani ni masikini wasioweza kujenga hizo nyumba? Ni kwamba wako vizuri mifugo yao inaweza kuwafanya waishi watakavyo lakini wameua kudumisha mila na ndio asili yao.......! Hao jamaa kama diplomasia isipotumika watawasumbua sana...
Hawana kitu kichwani ndilo tatizo kubwa, kwa maana nyingine mzungu anapoona africa kuna ardhi yote ile lkn bado tunakufa na njaa anatushangaa sana.
 
Habari Mtoa mada

Mimi sijawai kuuipinga serikali

Mimi ni mwanachama wa CCM kwa miaka mingi .
Hivyo siwezi kuuipinga hata siku moja

Ila hili la ngorongoro hapana

Uelewe jambo moja ktk nchi hakuna wilaya kame kama Handeni
Mimi ni.mfugaji inategemea maji na malisho yawe uhakika.

Ngorongoro ilikuwa sehemu ya uhakika kwa mifungo ambayo ndio uchumi wetu kwa miaka yote.

Mnataka kutudanganya eti nyumba
Tutakula nyumba .

Mkuu basic kubwa ktk maisha ni chakula sio ishu nyingine.

And nikutoe tongotongo

Kuishi kwenye nyumba ya tembe sio umaskini .

That is your decision and every one have is decision.

So jifunze .

Royal tour umefanya and one of attraction ni wamasai sasa mnawatoa yamkini hi project mmeshauriwa vibaya .

Wewe huishi na wamasai, tayari wameshajengewa na soon zitakua tayari kukaliwa, haya! Wamasai wataenda handeni kuishi, wewe endelea tu kulalamika.
 
Wewe huishi na wamasai, tayari wameshajengewa na soon zitakua tayari kukaliwa, haya! Wamasai wataenda handeni kuishi, wewe endelea tu kulalamika.
Walaaaaa sina na tatizo na wewe maana umetumwaa na wewe ni kiredio tuu mkuu

Ila hoja hupingwa kwa hoja sio kwa maneno ya kikaidi na ya kikatilii

Mwisho wa uovu ni uovuu
 
View attachment 2257421
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?

Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki wenzako waendelee? Unataka wawe na maisha mpaka lini?

Hoja kuwa ooh serikali imeuza eneo hilo kwa wawekezaji ili Wamasai wahamishwe haina mashiko hata kidogo. Jiulize hivi Wamasai wanaingizia serikali Sh. Ngapi kwa mwaka? Lakini kama kuna mwekezaji atalipa kodi, ataboresha ataajiri watz na kutengeneza mzunguko wa pesa.

Natamani sana nchi nzima iwe na mipango ya maendeleo na sio kuendekeza masikini, hakunaga masikini anaejenga nchi.

Kwanin wasinge wajengea hizo nyumba pale pale kwenye eneo lao la asili
 
Walaaaaa sina na tatizo na wewe maana umetumwaa na wewe ni kiredio tuu mkuu

Ila hoja hupingwa kwa hoja sio kwa maneno ya kikaidi na ya kikatilii

Mwisho wa uovu ni uovuu

Una uhakika gani nimetumwa!! Kwahiyo unataka wote tuwe na mawazo kama yako!!

Wahamishwe wasihamishwe kwangu mimi hainisaidii chochote,, heri yao wamejengewa, mimi hata kanyumba sina😁😁 kwahiyo hata nikipiga kelele kazi bure tu.
 
Bonge la point.
Watu hawajui kuwa masai ni matajiri.
Mtu anamiliki ng'ombe zaidi ya 3,000 atashindwa kujenga nyumba bora?
Utajiri unaanza kwenye fikra. Hakuna tajiri Dunia hii alafu atamani kuishi Kama wanavyoishi wamasai wa Ngorongoro. Wamasai wa Ngorongoro sio matajiri mpaka pale watakapo achana na fikra walizonazo Sasa hivi.
 
Back
Top Bottom