Wanaokataa Wamasai kuhamishwa wana ubinafsi mkubwa sana, siyo wazalendo

Njaa huwa haijifichi

Kama ambavyo mtoa mada anaendekeza njaa wazi wazi
 
kwa asili hawa jamaa ni wafugaji na wawindaji sasa itakuaje wadau
 
View attachment 2257421
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?
Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki wenzako waendelee? Unataka wawe na maisha mpaka lini?
Hoja kuwa ooh serikali imeuza eneo hilo kwa wawekezaji ili wanasai wahamishwe haina mashiko hata kidogo. Jiulize hivi wamasai wanaingizia serikali sh. Ngapi kwa mwaka? Lakini kama kuna mwekezaji atalipa kodi, ataboresha ataajiri watz na kutengeneza mzunguko wa pesa.

Natamani sana nchi nzima iwe na mipango ya maendeleo na sio kuendekeza masikini,hakunaga masikini anaejenga nchi.
Alafu ukute unapost ukiwa sebuleni kwa shemeji yako, ukiwa umenyoosha miguu kwenye sofa ukisubili vitoto vibakishe uji ili unywe!
 
Akina kinana wanatolea udenda tembo wetu, shida sana
Aliyemchafua Kinana kwa kusema ni jangili alishamuomba radhi. Mch Msigwa ndiye alimsema Kinana kuwa ni jangili ila alishalitolea swala hilo ufafanuzi kwa kumsafisha. Maana haya unayosema saivi tukikwambia utuletee ushahidi huna.

JESUS IS LORD
 
View attachment 2257421
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?
Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki wenzako waendelee? Unataka wawe na maisha mpaka lini?
Hoja kuwa ooh serikali imeuza eneo hilo kwa wawekezaji ili wanasai wahamishwe haina mashiko hata kidogo. Jiulize hivi wamasai wanaingizia serikali sh. Ngapi kwa mwaka? Lakini kama kuna mwekezaji atalipa kodi, ataboresha ataajiri watz na kutengeneza mzunguko wa pesa.

Natamani sana nchi nzima iwe na mipango ya maendeleo na sio kuendekeza masikini,hakunaga masikini anaejenga nchi.

Na isitoshe kila kichwa anamiliki nyumba ya kisasa lenye eneo ukubwa wa heka 3, na hapo hapo wametengewa eneo kubwa kwa ajili ya malisho ya mifugo yao.

Hawa wanaopinga cjui wana nia gani na wamasai,
 
Habari Mtoa mada

Mimi sijawai kuuipinga serikali

Mimi ni mwanachama wa CCM kwa miaka mingi .
Hivyo siwezi kuuipinga hata siku moja

Ila hili la ngorongoro hapana

Uelewe jambo moja ktk nchi hakuna wilaya kame kama Handeni
Mimi ni.mfugaji inategemea maji na malisho yawe uhakika.

Ngorongoro ilikuwa sehemu ya uhakika kwa mifungo ambayo ndio uchumi wetu kwa miaka yote.

Mnataka kutudanganya eti nyumba
Tutakula nyumba .

Mkuu basic kubwa ktk maisha ni chakula sio ishu nyingine.

And nikutoe tongotongo

Kuishi kwenye nyumba ya tembe sio umaskini .

That is your decision and every one have is decision.

So jifunze .

Royal tour umefanya and one of attraction ni wamasai sasa mnawatoa yamkini hi project mmeshauriwa vibaya .
 
Ina maana hujui Livestock keeping inaaliingizia taifa kiasi gani kwenye GDP? Hivi leo tungekuwa tunaagiza nyama ya ng’ombe nje ingekuwaje? Au unawaza kwa kutumia makalio? Hao wawekezaji kwanini msiwapeleke huko Handeni kama ni pazuri sana?

Hao wamasai maisha yao ni culture yao, msilazimishe mtu aishi kimjini mjini wakati ameamua kudumisha mila na desturi zake.., kama utajiri wanao, wewe ndio unawaona masikini.
Sasa kama wana utajiri si ndio wawapishe watanzania wengine wafaidike na nchi yao kutokana na tozo itakayopatikana kutokana na hiyo hifadhi!! Nyie ni wabinafsi sana hii nchi sio kwa ajili ya masai tu ni ya wote kama sehemu ni potential na inaingiza kipato kwa watanzania wote basi iheshimiwe,tokeni ngorongoro mmepewa nyumba na fidia sasa kwa nini mng’ang’anie ngorongoro
 
View attachment 2257421
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?
Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki wenzako waendelee? Unataka wawe na maisha mpaka lini?
Hoja kuwa ooh serikali imeuza eneo hilo kwa wawekezaji ili wanasai wahamishwe haina mashiko hata kidogo. Jiulize hivi wamasai wanaingizia serikali sh. Ngapi kwa mwaka? Lakini kama kuna mwekezaji atalipa kodi, ataboresha ataajiri watz na kutengeneza mzunguko wa pesa.

Natamani sana nchi nzima iwe na mipango ya maendeleo na sio kuendekeza masikini,hakunaga masikini anaejenga nchi.
binafsi nashauri wangetumia busara wahamishwe wachache baadhi wabaki ambao wanaendana na ratio ya ecosystem ya eneo husika
 
View attachment 2257421
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?
Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki wenzako waendelee? Unataka wawe na maisha mpaka lini?
Hoja kuwa ooh serikali imeuza eneo hilo kwa wawekezaji ili wanasai wahamishwe haina mashiko hata kidogo. Jiulize hivi wamasai wanaingizia serikali sh. Ngapi kwa mwaka? Lakini kama kuna mwekezaji atalipa kodi, ataboresha ataajiri watz na kutengeneza mzunguko wa pesa.

Natamani sana nchi nzima iwe na mipango ya maendeleo na sio kuendekeza masikini,hakunaga masikini anaejenga nchi.
Hao wamasai wanatumiwa kama chambo tu na Wakenya ambao ndio wenye faida na kinachoendelea kule katika ardhi yetu.
 
Ina maana hujui Livestock keeping inaaliingizia taifa kiasi gani kwenye GDP? Hivi leo tungekuwa tunaagiza nyama ya ng’ombe nje ingekuwaje? Au unawaza kwa kutumia makalio? Hao wawekezaji kwanini msiwapeleke huko Handeni kama ni pazuri sana?

Hao wamasai maisha yao ni culture yao, msilazimishe mtu aishi kimjini mjini wakati ameamua kudumisha mila na desturi zake.., kama utajiri wanao, wewe ndio unawaona masikini.
Bado cjajua hoja yako imejikita kwenye nini labda kama una maslahi binafsi ...... ngoja nikuwambie ivi unajua kuna masai wana ngombe 200k na wanaishi kwwnye nyumba za nyasi(tembe) na maisha yao ni mazuri tu kishinda wewe mwenye gari, ivi unajua wamasai wanaishi tamaduni zao kuliko wewe happ ulipo , ivi unajua maisha mazuri cyo kuishi kwwnye nyumba ya bati kama ulivyo kariri, ivi unajua kati ya mwekezaji na masai yupi ataharibu mazingira na kuondoa ule uhalisia(naturally) mim ningeshauri watumie njia nyingine kuwa shawishi kama lengo ni kupunguza shughuli za kibinadamu hifadhini ila cyo njia nzuri wanao tumia sasa
 
Aliyemchafua Kinana kwa kusema ni jangili alishamuomba radhi. Mch Msigwa ndiye alimsema Kinana kuwa ni jangili ila alishalitolea swala hilo ufafanuzi kwa kumsafisha. Maana haya unayosema saivi tukikwambia utuletee ushahidi huna.

JESUS IS LORD
Hahahah, kwani huyo Msigwa ni nani hadi akatae pesa, for the right price hata magoti hata atapiga 🤣🤣🤣
 
Sasa kama wana utajiri si ndio wawapishe watanzania wengine wafaidike na nchi yao kutokana na tozo itakayopatikana kutokana na hiyo hifadhi!! Nyie ni wabinafsi sana hii nchi sio kwa ajili ya masai tu ni ya wote kama sehemu ni potential na inaingiza kipato kwa watanzania wote basi iheshimiwe,tokeni ngorongoro mmepewa nyumba na fidia sasa kwa nini mng’ang’anie ngorongoro
Mmasai hashindwi kujenga hivyo vijumba vyemu kama vibanda vya maonyesho ya sabasaba, ila mila na desturi zake haziendani na hivyo vijumba vyenu. Ile ni Ardhi yao kama waTz halali na halisi, huyo anaetaka kuua simba na tembo akaue kwao!
 
Hata wewe ungeng'ang'ania kuishi burigi tungekuja kukutoa Kwa nguvu. Unakaa mbugani kwani wewe Fisi?
Hii nchi yote ni mbuga moja kubwa tu..., nadhani wote tuondolewe Tz ili ibaki mbuga tu, tupelekwe Burundi, au we unaonaje?
 
Mmasai hashindwi kujenga hivyo vijumba vyemu kama vibanda vya maonyesho ya sabasaba, ila mila na desturi zake haziendani na hivyo vijumba vyenu. Ile ni Ardhi yao kama waTz halali na halisi, huyo anaetaka kuua simba na tembo akaue kwao!
Bonge la point.
Watu hawajui kuwa masai ni matajiri.
Mtu anamiliki ng'ombe zaidi ya 3,000 atashindwa kujenga nyumba bora?
 
Bado cjajua hoja yako imejikita kwenye nini labda kama una maslahi binafsi ...... ngoja nikuwambie ivi unajua kuna masai wana ngombe 200k na wanaishi kwwnye nyumba za nyasi(tembe) na maisha yao ni mazuri tu kishinda wewe mwenye gari, ivi unajua wamasai wanaishi tamaduni zao kuliko wewe happ ulipo , ivi unajua maisha mazuri cyo kuishi kwwnye nyumba ya bati kama ulivyo kariri, ivi unajua kati ya mwekezaji na masai yupi ataharibu mazingira na kuondoa ule uhalisia(naturally) mim ningeshauri watumie njia nyingine kuwa shawishi kama lengo ni kupunguza shughuli za kibinadamu hifadhini ila cyo njia nzuri wanao tumia sasa
Naona umeniqoute kimakosa, tuko upqnde mmoja
 
Back
Top Bottom