Wanaokula mnofu wa Tanzania

Wanaokula mnofu wa Tanzania

Yaani wanasiasa inabidi mishahara yao ipunguzwe kuanzia mawaziri ,makatibu wakuu,wabunge,rc,dc, ded, nk ije kujalizia huku maana sijaona umuhimu wao kuzidi hao watu niliotaja hapo juu

Kazi kukaa ofisini kwenye kiyoyozi nakutoa order tu wengine hata kutembelea watu wajue kero zao mda huo hawana
Tatizo hao ndio wenye maamuzi kwahiyo wakifanya amendment lazima wajiangalie wao ,ndio maana hata katiba mpya ilikwama kwasababu ingeenda kuwaumiza hadi wao ,ebu fikiria mbunge amekaa bungeni miaka 20 halafu aje apitishe kipengele cha ukomo wa ubunge vipindi vi3 ,je atapitisha?
 
Mushi kwanini umepotosha umma nilitarajia useme hivi

1. Mbunge kwamwezi mshahara wake ni million 3.8(million 4) huo ndo mshahara wa mbunge anaokatwa kodi.

2. Hizo zote zinazobakia zinaingia kwenye account yake matumizi mbalimbali ya shughuli zakibunge na ofisi ya mbunge .eg ,mafuta ya gari wakati anafanya shughulu zake kibunge asikwame, kumlipa dereva wake, kumlipa katibu wake wajimbo, kununua furniture's za ofisi..

Siafiki namna ambavyo wao hua wanapewa bandolote lafedha hizo moja kwa moja mana wabunge wengine hata majimboni huwa hawafiki lakini mpunga anapokea wamefuta kila kitu.
kwa nini na hizo kada zingine wasipewe allowance ambazo ni non taxable kama hao wachumia tumbo? inavyoonekana watu muhimu kwa jamii wanadharaulika saaaana kuliko hao wachumia tumbo ambao wakichaguliwa wanabadilika na kujiona ni ma intellectual ambao wengi ni magumashi na wamefoji vyeti. Jaribu kuangalia mishahara na marupurupu kwa nchi wanaojitambua utaona wanalipana kutokana na umuhimu wa kada kwa jamii.
 
Daah hapo umesema kweli lazima wajipendelee wao
 
WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA​

Na Thadei Ole Mushi.

Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000

Kwa mwaka atapokea 132,000,000

Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000

Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri ambao fedha hii inaongezeka.

Mshahara huu uliingia Moja kwa moja kwenye account Ina maana labda ulikuwa na Makato ya kodi nk au Hauna hayo Makato lakini take home yake ni hiyo iliyoingia kwenye Simu.

Kazi yake kubwa Bungeni Ni kupiga makofi meza, kuitikia ndio au hapana Bungeni.

Huyu mbunge Sifa zake kitaaluma anatakiwa kujua kusoma na kuandika tu.

Njoo kwa Mwalimu anayeajiriwa na Degree moja.

Anaanza na msahahara wa TGTS D1 mshahara wake Ni 733,000 akikatwa Kodi, bima, NSSF, CWT, Loan Board, anabakiwa na shilingi 500,000 plus kwa Mwezi.

Kwa mwaka atachukua 6,000,000 huu mshara wa mwaka haujafikia mshahara wa Mbunge kwa Mwezi mmoja.

Kwa miaka mitano atachukua Milioni 30 plus huku mmbunge akichukua Milioni 660,000, 000.

Majukumu ya huyu mwalimu Sitaki kuyataja kwani ni Mengi mno.

Daktari anayeanza na Degree Moja.

Huyu analipwa 1,400,000 bila makato Kama akikatwa vikorokoro vyote anabakiwa na 900,000 kwa Mwezi.

Kwa mwaka atachukua 10,800,000 bado hajafikia mshahara wa Mbunge.

Kwa miaka mitano atachukua Milioni 54,000,000 huku Mbunge akichukua Milioni 660,000,000.

Majukumu ya Daktari unayajua hatuna haja ya kuyataja.

Ole Mushi
0712702602

Viva
Ambakisye Mwakisyala Mlima
Msemakweli Daima
Usisahau kwamba hiyo fedha anagawana na wajumbe.....
ole wake aile pekeyake
 
kwa nini na hizo kada zingine wasipewe allowance ambazo ni non taxable kama hao wachumia tumbo? inavyoonekana watu muhimu kwa jamii wanadharaulika saaaana kuliko hao wachumia tumbo ambao wakichaguliwa wanabadilika na kujiona ni ma intellectual ambao wengi ni magumashi na wamefoji vyeti. Jaribu kuangalia mishahara na marupurupu kwa nchi wanaojitambua utaona wanalipana kutokana na umuhimu wa kada kwa jamii.
Dawa yahaya yote CCM kuondolewa madarakani..
 
haya maisha bhana! mtu kasota kutafuta degree lakn anakuja kutungiwa sheria na mtu ambae et "anajua kusoma na kuandka"

hii ishu ya mbunge kujua kusoma na kuandka iliwekwa enz hzo wakat tanzania ikiwa haina wasomi wa kutosha lakn sasa nchi ina wasomi kila kona kwa nn vigezo vya mtu kuwa mbunge visibadilishwe? mm napendekeza mtu kuwa mbunge angalau awe na degree moja.
 
Mi naona sababu kubwa ya walimu kudharuliwa hata kwenye malipo inaanzia na mfumo wetu wa elimu...leo hii kusoma ualimu ambao ndo msingi wa taifa wala sio kazi ukiwa na ufaulu hata wa D 4 tu unaweza soma kuanzia vidudu kwrnda juu...sasa fikiria kama mwalimu ana elimu duni unadhani kuna mtu atawathamini?

Iweke sheria labda ualimu,udaktari,nurse,maabara na kada zote za afya na uhandisi,uchumi mtu anayetaka kusoma walau awe na Division one..hapo kila mtu ataheshimu.. na structure nzima ya jinsi wanavyopatikana kuanzia shuleni hadi kwenye ajira ibadilike nina amini muda mfupi tu nchi itapaa..tofauti na sasa ualimu imekua kama vile option ya mwisho kwa mtu aliyefeli
Yaani katika watu ninge suggest walipe mkwanja mrefu

Ni waalimu
Nawaheshimu sana hawa watu na kweli wanapitia mengi sema ndo wanaongoza kwa kudharauliwa .. wengine mazingira ya kazi wanapofanyia ni magumu

Matabibu
Hawa wanahakikisha tunakuwa na afya na afya ni muhimu ni uhai hivyo tuendelee kulitumikia taifa vizuri .ila cha ajabu kuna zahanati vijijini utakuta yupo mmoja .. zahanati iyo ipo kwenye jimbo la mbunge mwenye makazi dar anayetibiwa agha khan au ocean road

Vyombo vya ulinzi
Hawa watu Mungu awabariki tuu japo kama kuna mapungufu ni kawaida kwa kada nyengine

Yaani wanasiasa inabidi mishahara yao ipunguzwe kuanzia mawaziri ,makatibu wakuu,wabunge,rc,dc, ded, nk ije kujalizia huku maana sijaona umuhimu wao kuzidi hao watu niliotaja hapo juu

Kazi kukaa ofisini kwenye kiyoyozi nakutoa order tu wengine hata kutembelea watu wajue kero zao mda huo hawana
 
Madiwani pekee wangetosha kua wawakilishi wa wananchi na ingewekwa sheria mtu awe na angalau digrii ya fani flani ingesaidia pamoja na mengineyo kama historia yake ya nyuma kuhusu nidhamu nk..pia ukomo uwe 10yrs
Hii iangaliwe upya, kuna haja ya kuwa na bunge kubwa ilhali wengine wanakaa miaka mitano bila ya kuchangia? Wabunge wawe wa kujitolea kama wana uchungu na maendeleo ya wananchi au iwe ajira kama ajira nyingine wapokee mshahara wa kawaida tu. Tuwe na wabunge wa kila wilaya wanatosha
 
Kuna wengine hawajagombea. Wameteuliwa, viti maalum na wamepitwa bila kupingwa.
Wamepita bila kupingwa au bila kupigiwa kura🤩?

Nilichojifunza katika haya maisha ya hapa town jitahidi sana kukaa jirani na ma bigfish. Ndio namna pekee na rahisi ya kufikia matobo!
 
Mushi kwanini umepotosha umma nilitarajia useme hivi

1. Mbunge kwamwezi mshahara wake ni million 3.8(million 4) huo ndo mshahara wa mbunge anaokatwa kodi.

2. Hizo zote zinazobakia zinaingia kwenye account yake matumizi mbalimbali ya shughuli zakibunge na ofisi ya mbunge .eg ,mafuta ya gari wakati anafanya shughulu zake kibunge asikwame, kumlipa dereva wake, kumlipa katibu wake wajimbo, kununua furniture's za ofisi..

Siafiki namna ambavyo wao hua wanapewa bandolote lafedha hizo moja kwa moja mana wabunge wengine hata majimboni huwa hawafiki lakini mpunga anapokea wamefuta kila kitu.
Basi itasaidia kama Halmashauri itawanunulia furniture sawa na wafanyakazi wengine, itawalipa maderva na makatibu etc yeye akabaki na pesa zake ili basi hizo zingine zisaidie na jamii yake hiyo; pendekezo
 
Wamepita bila kupingwa au bila kupigiwa kura🤩?

Nilichojifunza katika haya maisha ya hapa town jitahidi sana kukaa jirani na ma bigfish. Ndio namna pekee na rahisi ya kufikia matobo!
Nadhani viti maalumu inaushindani sana kuliko hata ule wa jimbo...Usije dhani wameteuliwa
 
Daah! Bora niendelee na business zangu tu 🚶🚶🚶
WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA​

Na Thadei Ole Mushi.

Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000

Kwa mwaka atapokea 132,000,000

Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000

Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri ambao fedha hii inaongezeka.

Mshahara huu uliingia Moja kwa moja kwenye account Ina maana labda ulikuwa na Makato ya kodi nk au Hauna hayo Makato lakini take home yake ni hiyo iliyoingia kwenye Simu.

Kazi yake kubwa Bungeni Ni kupiga makofi meza, kuitikia ndio au hapana Bungeni.

Huyu mbunge Sifa zake kitaaluma anatakiwa kujua kusoma na kuandika tu.

Njoo kwa Mwalimu anayeajiriwa na Degree moja.

Anaanza na msahahara wa TGTS D1 mshahara wake Ni 733,000 akikatwa Kodi, bima, NSSF, CWT, Loan Board, anabakiwa na shilingi 500,000 plus kwa Mwezi.

Kwa mwaka atachukua 6,000,000 huu mshara wa mwaka haujafikia mshahara wa Mbunge kwa Mwezi mmoja.

Kwa miaka mitano atachukua Milioni 30 plus huku mmbunge akichukua Milioni 660,000, 000.

Majukumu ya huyu mwalimu Sitaki kuyataja kwani ni Mengi mno.

Daktari anayeanza na Degree Moja.

Huyu analipwa 1,400,000 bila makato Kama akikatwa vikorokoro vyote anabakiwa na 900,000 kwa Mwezi.

Kwa mwaka atachukua 10,800,000 bado hajafikia mshahara wa Mbunge.

Kwa miaka mitano atachukua Milioni 54,000,000 huku Mbunge akichukua Milioni 660,000,000.

Majukumu ya Daktari unayajua hatuna haja ya kuyataja.

Ole Mushi
0712702602

Viva
Ambakisye Mwakisyala Mlima
Msemakweli Daima
 
Basi itasaidia kama Halmashauri itawanunulia furniture sawa na wafanyakazi wengine, itawalipa maderva na makatibu etc yeye akabaki na pesa zake ili basi hizo zingine zisaidie na jamii yake hiyo; pendekezo
Haitotokea iwezekane ,siasa zetu chafusana.Mimi mbunge serikali initaftie dereva?.katibu wangu jimbo, au ofisi ya bunge initaftie dereva,katibu!!!! Mbona sikumbili utaenda na maji
 
Unatafuta wewe ila malipo yafuate scheme na mifumo ya serikali...Hii itasaidia sana kuondoa hizo biases na psychological problems wanazopata technochrats
 
Back
Top Bottom