Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Na kweli sababu inanzia hapoMi naona sababu kubwa ya walimu kudharuliwa hata kwenye malipo inaanzia na mfumo wetu wa elimu...leo hii kusoma ualimu ambao ndo msingi wa taifa wala sio kazi ukiwa na ufaulu hata wa D 4 tu unaweza soma kuanzia vidudu kwrnda juu...sasa fikiria kama mwalimu ana elimu duni unadhani kuna mtu atawathamini?
Iweke sheria labda ualimu,udaktari,nurse,maabara na kada zote za afya na uhandisi,uchumi mtu anayetaka kusoma walau awe na Division one..hapo kila mtu ataheshimu.. na structure nzima ya jinsi wanavyopatikana kuanzia shuleni hadi kwenye ajira ibadilike nina amini muda mfupi tu nchi itapaa..tofauti na sasa ualimu imekua kama vile option ya mwisho kwa mtu aliyefeli
Lakini mkuu huko kwenye ubunge mbona ukijua kusoma na kuandika inatosha bora hata na mwalimu ndo kama hivyo tunawabunge mpka darasa la saba
Hivi ni kipi kinafanya hawa watu waendelee kudekezwa yaani ktk watu siwapend ni hawa wanajisahau sana