Uchaguzi 2020 Wanaokwenda kugombea majimbo na hawa Wadau, wanajisumbua na kupoteza muda wao

Uchaguzi 2020 Wanaokwenda kugombea majimbo na hawa Wadau, wanajisumbua na kupoteza muda wao

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
  1. Dkt. Philipo Mpango
  2. Kassim Majaliwa
  3. Seleman Jafo
  4. Charles Kimei
  5. Prof. Palamagamba Kabudi
  6. Dotto Biteko
  7. Dr. Kalemani
  8. Angela Kairuki
  9. Ummy Mwalimu
  10. Godfrey Simbeye
  11. Josephat Gwajima
  12. Prof. Makame Mbarawa
  13. Mrisho Gambo
  14. Job Ndugai
  15. Mohamed Shabiby
  16. Abood Abdulaziz
  17. William Lukuvi
  18. Joyce Ndalichako
  19. Ridhiwani Kikwete
  20. Mtoto wa Lowasa - Monduli
  21. Agrey Mwanri
  22. Anna Kilango Malecela
  23. Simbachawene
  24. Anton Mavunde
  25. Anjelina Mabula
  26. Kigwangala Hamisi
 
Namba moja lilipaswa kuwa la Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa

Kwa nilivyomsoma Raisi Magufuli kum-challange Waziri Mkuu ni kama umemchalange yeye mwenyewe Raisi Magufuli
 
Tujiandae saa tatu kamili kutazama mahojiano mahsusi Kati Dr. Hussein Mwinyi(Rais mtarajiwa wa Zanzibar) na Tido Muhando UTv(Channel 108 azam tv)
 
Back
Top Bottom