Uchaguzi 2020 Wanaokwenda kugombea majimbo na hawa Wadau, wanajisumbua na kupoteza muda wao

Uchaguzi 2020 Wanaokwenda kugombea majimbo na hawa Wadau, wanajisumbua na kupoteza muda wao

Simbeye, Gambo, Gwajima hata 10% ya kura za maoni za mchujo wa ubunge ngumu sana kupata.. Narudia hata 10% hawapati, usiniliuze kwanini, upepo wa kisiasa kwao uko kushoto kabisa
 
Simbeye, Gambo, Gwajima hata 10% ya kura za maoni za mchujo wa ubunge ngumu sana kupata.. Narudia hata 10% hawapati, usiniliuze kwanini, upepo wa kisiasa kwao uko kushoto kabisa

Mimi nipo na Gwajima kwasababu atageuza 🕌 yote Sunday school
 
Ungesema wanaokwenda kugombea kura ya maoni ndani ya CCM ungeeleweka sio kugombea ubunge.
Muziki wa ubunge ni kitu tofauti kabisa, katika uliowataja ni Majaliwa tuu ndio anaweza kuwa anajambo la kujiaminisha nalo ni upole na heshima yake
 
Simbeye anagombea jimbo gani?

Hivi kumbe ana ushawishi somewhere?

Kale ka-segment ka Habari za Biashara na Uchumi ITV nilifikiri naye ni reporter wa ITV maana daily yupo kwenye taarifa.
 
Back
Top Bottom