Uchaguzi 2020 Wanaokwenda kugombea majimbo na hawa Wadau, wanajisumbua na kupoteza muda wao

Mbozi
Simbeye anagombea jimbo gani?

Hivi kumbe ana ushawishi somewhere?

Kale ka-segment ka Habari za Biashara na Uchumi ITV nilifikiri naye ni reporter wa ITV maana daily yupo kwenye taarifa.
 
Anayegombea na Aggrey mwanri nafikiri ategemee "ENGINEER SOMA HIYOOO"KISHA ATAACHWA KAMA ANAJIKUNA VILE"HUKU AKIONA MDUNDO WA CHIKICHICHIKICHI EEEH
Mwanri anagombea jimbo gani??
 
Na huko ndipo tulipoimarisha hit squad!

Mkizingua tu kufanya hujuma kwa wapinzani ili mtangazwe washindi Basi tarajieni kilio
 
Jimbo la Kibamba sijasikia watia nia baada ya John Mnyika au Hakuna wagombea
 
Vipi kuhusu Piere Liquid
 
Wasira ni kichaa mark my words
 
12.Professor Makame Mbarawa Mnyaa,anatokea Pemba,jimbo la Mkanyageni huko ni kama ccm haipo,mwaka 2015 alipata kura 250,ni rekodi haijawahi kutokea
 
ina maana makonda Bashite atakosa ubunge?
 
Ondoa gwajima, anna kilango, na yule kibaka wa arusha ..rc
 
Yaweza kutokea maajabu Kigamboni jina la Daud Bashite likakatwa wakarejesha jina la Mpoki
 
Majaliwa ana nidhamu sana ya kazi, anaye mfuatia ni Jafo.
Namba moja lilipaswa kuwa la Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa

Kwa nilivyomsoma Raisi Magufuli kum-challange Waziri Mkuu ni kama umemchalange yeye mwenyewe Raisi Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…