Wanaolalamika us dollar kupanda bei sana wachungulie hapo kwa jirani

Unajua uwiano wa Ksh to Tsh, yani Kenya umaweza nunua Corolla kwa laki 3, Huku Tanzania 5m, sina mpango kabisa wa kujilinganisha na kenya.
 
Kwa hio 'kutoka kwao kuja kwa madafu' umemaanisha kutoka KUNYALAND kuja BONGOLAND au sio?


Yaan Shilling 1 ya KUNYALAND = Shilling 19 za BONGOLAND

Mangungo The Chief nimekuelewa
Kwahiyo ukijumlisha na kuzidisha hapo unapata wapi dola ni bei ghali?
Kunyaland au bongoland?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…