mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Jirani tu hapo leo imepiga 150 ksh kwa dollar moja, na kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hapa siunajua wengne tumesoma UPEna kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi
Ni unazidisha mara 20Unajua uwiano wa Ksh to Tsh, yani Kenya umaweza nunua Corolla kwa laki 3, Huku Tanzania 5m, sina mpango kabisa wa kujilinganisha na kenya.
Ni unazidisha mara 20
1 mara 19 unapata jumlaSijaelewa hapa siunajua wengne tumesoma UPE
Yaani jirani ana hali mbaya kuliko sieHunilipi kukufundisha Hesabu.
Bado sijaelewa1 mara 19 unapata jumla
Sijaelewa bado fafanua tenaYaani jirani ana hali mbaya kuliko sie
Yaani jirani ana hali mbaya kuliko sie
Duh kweli we mangungoBado sijaelewa
Kwa hio 'kutoka kwao kuja kwa madafu' umemaanisha kutoka KUNYALAND kuja BONGOLAND au sio?Duh kweli we mangungo
Yaani bandari moja ya kenya ni sawa na bandari 19 za kwetu, ndio maana kunyaland hawataki tuwekeze
kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19
Kwahiyo ukijumlisha na kuzidisha hapo unapata wapi dola ni bei ghali?Kwa hio 'kutoka kwao kuja kwa madafu' umemaanisha kutoka KUNYALAND kuja BONGOLAND au sio?
Yaan Shilling 1 ya KUNYALAND = Shilling 19 za BONGOLAND
Mangungo The Chief nimekuelewa