Halo kwwnye gaun refu na bikra sijaelewaHivi yule mmama aliyewazika mkiwa hai naye ni singlemom? Au hiyo si roho mbaya na chafu iliyopitiliza?
Hapana Prida, tabia mbaya ni vile mtu yupo nayo…kazaliwa nayo…kaiga….lakini usijumuishe singlemoms ni tatizo….yakimkuta mwanao utashindwa kuomba msamaha na ushaandika tayari.
Hao unaowatukuza muda huu,sijui wanaume…ni wazuri Ila siyo wazuri pia.Tuishi bila kunyosheana vidole…hayupo mtakatifu,hayupo mkamilifu
Ni Sawa na kunyoshea mtu kidole eti yupo uchi ingali wewe mwenyewe na gauni lako refu huna bikra
As always umewapiga kunako rafikiMy toxic trait; mi ni mrahisi kuchukua maonyo kutoka kwa mwanamke kuliko kwa mwanaume. 😀🥹
Tumekusikia single mom, lakini tunasema hivi… pamoja na matatizo waliyonayo single moms, which kila mtu anayo…. Haina haja ya kuwashambulia muda wote, tayari wana burden ngumu ya kulea watoto pekeyao, kwanini kuwaongezea ugumu?
However, kuendelea kuwashikia bango single mothers huku tukiwaacha wanaume waliowazalisha getting away just like that, hatuwezi kusolve tatizo, na tatizo halitokaa lije kuisha.
Mtoto anapatikana baada ya kitendo cha me na ke kufanya sex, huwezi jua wawili waliongea nini kabla ya kumwagiana ndani.
Let’s grow up and be accountable.
🙏🙏Dada umeandika vizuri sana.
Hii inaweza kuwasaidia wanawake wenzako na sisi wanaume kuona kile wanachopitia.
Nimependa hili andiko kwa sababu limeeleza ukweli wote tena kutoka kwa mwanamke.
Ukweli ni kuwa sio kila single mother ana matatizo; wapo ambao wanajitambua na hawaendeshwi kwa stress za maisha.
Popote ulipo kunywa Pepsi baridi, tuma LIPA NAMBA nitalipa.