binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Abee..Mkuu,
Abee..Mkuu,
Yes , kwakuwa umepewa Akili make sure unafanya calculation ktk Kila MOVE yako.Kwa mantiki hii, niko sahihi nilivyosema kwenye uzi wa Natafuta ajira uliopita kuwa “as long as mtu ni wa kike, amezaa/anatarajia kuzaa suala la kuwa single mother ni given “ Kwasababu ya mentality kama hizi za wanaume.
Kwahiyo suala la mtu kuwa single mother halihusishi “masingizio” mnayowasingizia single mother humu kila siku, ni ninyi na kutokupenda kwenu kuwajibika……..
Na wakati huo huo mnadai jamii ambayo ni responsible, mnadai wanawake responsible, mnadai serikali responsible pia!!! 😂
Baadae nilikuja kuelewa kwanini sheria nyingi zimetungwa kwaajili ya wanaume!
Hatuwezi kuyaepuka haya yote. There will always be irresponsible people out there. Kuyapungunguza tuendelee kukumbushana umuhimu wa maadili. Ndoa ziheshimiwe. Ukizaa, tunza. Iwe kwa hiari au kwa shuruti. Vijana wahimizwe matumizi ya contraceptives.Unashauri nini kifanyike kuyaepuka haya?
Halafu watu watambue kwamba hata mwanamke ana uhuru wa kumwacha mwanaume. Akaamua aishi zake mwenyewe na mtoto.Aah kwakweli wanatunyoosha hii nyuzi sijui ya saba kwa leo tu, na singo maza mmoja akizingua huko ni wote, heri ku-avoid hast generalizations tu!
Nipo hapa mzee wa makamoMimi sio dogo ni mbibi wa makamo
.Hujambo?
It’s not about me homie, i know ball!Yes , kwakuwa umepewa Akili make sure unafanya calculation ktk Kila MOVE yako.
Maswala kama kuzaa ni mambo sensitive , hakikisha umejiweza kiuchumi kwanza then ndo ufikirie kuzaa au kuzalisha
Out of that , tumia Condoms (Lifetime).
It’s not about me homie, i know ball!
Jamii huwa inabadilika collectively, acheni kujificha kwenye shamba la karanga.
Hahaha bwashee mbona wapo watoto kibao hata sio single maza?Bwashee, kabla sijaamua kufanya hayo maamuzi nikapita pita humu jukwaani nikakuta nyuzi nyingi zinasema tuoe mabikra ila cha ajabu sio tu kumpata aliye bikra imekua ngumu ila hata yule ambae hana mtoto ni ngumu😅😅.
Sahihi, ila kwa kelele hizi za mitandaoni huenda mabinti wataogopa kulombwa bila kinga! Tuwahimize walio karibu yetu pia!Hatuwezi kuyaepuka haya yote. There will always be irresponsible people out there. Kuyapungunguza tuendelee kukumbushana umuhimu wa maadili. Ndoa ziheshimiwe. Ukizaa, tunza. Iwe kwa hiari au kwa shuruti. Vijana wahimizwe matumizi ya contraceptives.
Na mwanamume kumlaumu mwanamke ni unini?Ukiwa umepewa Akili ila hauzitumii je unafikiri ni sahihi.
Swala la kuzaa kwa 100% linaamuliwa na mwanamke
Kwahiyo is ur responsibility kuhakikisha una calculate every move in ur life .
Kumlaumu Mwanaume ni utoto mkubwa kabisa .
Absolutely! Na hapo ndipo wanaposhindwa kuelewa, sio kila mtu anazaa na mtu ili awe mke wa mtu.. mwingine anatamani kuwa na mtoto ila hana shida ya ndoa na anajiweza kwahiyo hawezi kutumbukia kwenye kundi la singo mamaz wasiojitambua!Halafu watu watambue kwamba hata mwanamke ana uhuru wa kumwacha mwanaume. Akaamua aishi zake mwenyewe na mtoto.
Si kila single mother anataka kuwa na mwanaume.
Kuna watu kwenye hii Dunia, wanataka kuzaa tu watoto kisha wabaki wenyewe wakiwalea.
Hawataki masuala ya kuishi mume na mke.
Mimi nimeishia kwenye aya ya kwanza na hiki kitecno changu😂
Shukrani.Andiko nzuri sana na lenye hoja za maana, hongera sana.
Ukweli malezi sio mepesi , garama za malezi si nyepesi haijalishi una kipato cha namna gani..
Kwetu wanaume hatujali tunagharamika kiasi gani kutoa mahitaji kwa watoto wetu kwani ndani yetu tunajihesabu kama sehemu ya uanaume wetu, kwa lugha rahisi tumejitoa sadaka bila kujali maisha yetu kwa ujumla kwa ajili ya famili, hii iko ndani mwetu .
Binafsi napata shida sana ninapo ona mwanamke anae itwa single mother akibezwa , tena akibezwa na mwanaume .
Naweza nisiwe sahihi lakini huwa naamini anguko lolote la mwanamke ni matokeo ya kufeli mwanaume .
Mwanaume anapo shindwa kusimama kama mwanaume athari zinajidhirisha kwa mwanamke na kisha kulaumiwa mwanamke!
Mapendekezo yako mleta mada ni mazri na yanayo paswa kuungwa mkono. Zinahitaka juhudi za lazima kupunguza hiki kinacho itwa single mother, ikibidi hata mamlaka .
nini kifanyike kwa mwaname kupunguza matokeo ya single mother?
kwanza kabisa ni mwanamke mwenyewe, mwanamke kwa sababu ana wajibu na mwili wake mwenyewe.
kwa sababu pia mwanamke hafanyi mapenzi bila sababu, hana msukumo wa kufanya mapenzi unaolingana mwanaume kwa hio ana uwezo mkubwa wa kupunguza kama si kuuondisha kabisa unao itwa usingle mother.
bahati mbaya pamoja na dharura tunarudi pale kwenye mapendekezo yako.
shukrani.
Being a single mother sio tatizo na halijawahi kuwa tatizo kwa wanawake waliojipanga kuzaa .Na mwanamume kumlaumu mwanamke ni unini?
Unamaanisha wanawake wasizae? kwasababu kama ulisema mwanamke azae akiwa na uwezo wa kutunza, maana yake umeshajiondoa….na maana yake nyingine ni kuwa kila mwanamke ambaye amezaa yuko kwenye risk ya kuwa single mother….!
It’s called resentment, somehow somewhere mama zao hawakuweza kuwapa walichopaswa kuwapa, it’s life shit happens…. So low-key wamewaresent single mothers wote.Kuna Vijana humu ni watoto ya single mother ila wakisikia single mother wanashambulia kweli, wanajua single mother ni cheo cha mpenzi tu kumbe hata mzazi aliyekulea bila baba yako ni single mother.
Hahaha. Wana kamsemo kao wanasema "it all starts with a man".Ukiwa umepewa Akili ila hauzitumii je unafikiri ni sahihi.
Swala la kuzaa kwa 100% linaamuliwa na mwanamke
Kwahiyo is ur responsibility kuhakikisha una calculate every move in ur life .
Kumlaumu Mwanaume ni utoto mkubwa kabisa .
Sasa kwa wamatumbi huku, ngumu sana kuelewa hii.Absolutely! Na hapo ndipo wanaposhindwa kuelewa, sio kila mtu anazaa na mtu ili awe mke wa mtu.. mwingine anatamani kuwa na mtoto ila hana shida ya ndoa na anajiweza kwahiyo hawezi kutumbukia kwenye kundi la singo mamaz wasiojitambua!