Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Pesa inafuta kelele nyingi sana.Unadhani single mothers wangekuwa na uchumi stable wangekuwa wanalalamika ?. Kama ilivyo Sasa?
Pesa inafuta kelele nyingi sana.Unadhani single mothers wangekuwa na uchumi stable wangekuwa wanalalamika ?. Kama ilivyo Sasa?
Amani ikizidi sana inapooza. Inabidi iwe na hamsha hamsha bana.Ndoa iwe na amani sio uwanja wa fujo sasa
Sema wengi wao wanawaacha kwa bibi zao wanatunzwa kwa kila kitu wachache sana wanapambana wenyeweBana hata uwe na uchumi stable kulea watoto peke yako sio jambo jepesi ujue. Yaani malezi sio mepesi hata uwe na hela tena kama hauna napo ndio kabisaaa.
Hizo amsha amsha mimi sizitaki kabisa mda wa kuishi ni mdogo , usikubali kupoteza hata sekunde ya amaniAmani ikizidi sana inapooza. Inabidi iwe na hamsha hamsha bana.
Bibi nae awe anajiweza. Kuchosha tu wazazi sasa.Sema wengi wao wanawaacha kwa bibi zao wanatunzwa kwa kila kitu wachache sana wanapambana wenyewe
Malalamiko mengi yapo kwa broke women .Pesa inafuta kelele nyingi sana.
Hivyo hivyo , kama alivyolelewa yeye ndio na kajukuu kanalelewa😄Bibi nae awe anajiweza. Kuchosha tu wazazi sasa.
Na wakizipata vijana wa hovyo hunyanyasika mno.Malalamiko mengi yapo kwa broke women .
Nadhani kuua dharau watafute pesa wawe financial stable.
Majukumu sio vitu vyetu hivo mkuu. Mwanaume anaweza hudumia mwamamke miaka, ngoja mwanaume akose kazi mwezi tu mwanamke kashamchoka. LohWanawake kiasili ni dhaifu linapokuja swala la majukumu.
Unakuta ana mtoto Mmoja ambaye hana baba ila akimuhudumia basi atataka Dunia nzima imtambue kuwa yeye ni super woman .
Jambo Hilo pekee ni ishara kuwa Hawa watu ni wadhaifu mambo ambayo ni ya kawaida kabisa
Unakuta mwanaume Mmoja anahudumia familia yake , michipuko na bado anajenga na kusomesha watoto na kusaidia ukweni
Ila you can't find him ana brag anywhere
Sasa mambo haya hata robo akifanya mwanamke atataka Kila MTU atambue.
Raha ale yeye mtoto apeleke kwa bibi. Kila mtu apambane na yake. HahahaHivyo hivyo , kama alivyolelewa yeye ndio na kajukuu kanalelewa😄
Mimi nipo na wanangu sina wasiwasi 😊Raha ale yeye mtoto apeleke kwa bibi. Kila mtu apambane na yake. Hahaha
Mambo mengi yanasikitishaHawa hawakoseagi, kwanza wamesababishiwa matatizo mwanamke kujitundika mimba bila ridhaa ya mwanaume!😞
Kama sio vitu vyenu pia msipanue mapacha bila kuwa na uwezo wa kulea mtotoMajukumu sio vitu vyetu hivo mkuu. Mwanaume anaweza hudumia mwamamke miaka, ngoja mwanaume akose kazi mwezi tu mwanamke kashamchoka. Loh
Too low of you kufikiri kila single mother amepata mimba kabla ya ndoa, Robert!Mimba anabeba mwanamke.
Ni mwanamke mjinga pekee ambaye hataangalia na kujali masuala ya uzazi akifikiri mwanaume tena asiye mumewe atahusika na mimba yake.
Ngono ni starehe.
Ngono ni biashara.
Kwa wanandoa ngono ni starehe na sehemu ya kupatia mtoto.
MTU kama hajaolewa/hajaoa ajue anafanya umalaya. Na Siku zote Malaya habebi mimba. Akibeba mimba ni yake
Wanaume ni wabinafsi sana!Mambo mengi yanasikitisha
Too low of you kufikiri kila single mother amepata mimba kabla ya ndoa, Robert!
Kwani hao single sio wanawake bwashee?Na siku hizi ni kama wapo wengi hao waliozalia home au ni Mimi tu ndio niko na wenge... Nimeanza kutafuta mke wa kuwowa tangu mwaka jana Kila nnaekutana nae ni singo maza 😅😅😅.
Ama kweli ukitaka kujua wanawake ni wachache anza kutafuta mke.
Bwashee, kabla sijaamua kufanya hayo maamuzi nikapita pita humu jukwaani nikakuta nyuzi nyingi zinasema tuoe mabikra ila cha ajabu sio tu kumpata aliye bikra imekua ngumu ila hata yule ambae hana mtoto ni ngumu😅😅.Kwani hao single sio wanawake bwashee?