Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Vipi kuhusu single fathers?
Hamna tatizo la single father wala single mother
Issue kubwa ni uwezo wa kumlea mtoto .
Kama MTU hana uwezo wa kulea mtoto awe mwanamke au mwanaume asianze kuzalisha au kuzaa mpaka at least awe stable