pitia hizo mada zilizopitwa na wakati ambazo zimekujuza mengi.. zaid ya kuwapanikisha watu bure.. kitu cha mwaka 2005..Me napingana na wote wanaounga mkono hii thread!! Si kweli kua mada zote zilizopitwa na wakati hazina maana!! Shida ni msomaji wa hiyo mada.. Kwa nini usiangalie tar ya post?? Kama outdated achana nayo sio unakimbilia kucomment tu!! Siwalaumu wanao update post maana wanatufanya tujue mengi.!! Big up kwa wote wenye hii tabia
pitia hizo mada zilizopitwa na wakati ambazo zimekujuza mengi.. zaid ya kuwapanikisha watu bure.. kitu cha mwaka 2005..
Me napingana na wote wanaounga mkono hii thread!! Si kweli kua mada zote zilizopitwa na wakati hazina maana!! Shida ni msomaji wa hiyo mada.. Kwa nini usiangalie tar ya post?? Kama outdated achana nayo sio unakimbilia kucomment tu!! Siwalaumu wanao update post maana wanatufanya tujue mengi.!! Big up kwa wote wenye hii tabia
Me napingana na wote wanaounga mkono hii thread!! Si kweli kua mada zote zilizopitwa na wakati hazina maana!! Shida ni msomaji wa hiyo mada.. Kwa nini usiangalie tar ya post?? Kama outdated achana nayo sio unakimbilia kucomment tu!! Siwalaumu wanao update post maana wanatufanya tujue mengi.!! Big up kwa wote wenye hii tabia!
Umesupport kitu ambacho kimesound bad, ppl wanawait kujua heslb wamewapa nini ili kujitathmin wafanye nini, then mtu anaupdate thread ya 2011 inayoamsha, Kweli tuifurahie? Unfair judgement imetumika.
"S/he wasnt serious."