wanaoleta mada zilizopitwa na wakat tuwafanye nn..

wanaoleta mada zilizopitwa na wakat tuwafanye nn..

johnshedo

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
98
Reaction score
6
heb wanajamii tuelimike basi.. ww unaupdate mada iliyopita ili iweje.. hebu uwe na akili.. msituletee mambo ya kitoto.. nendeni huko facebook... alaah...!
 
Huu ni upuuz sana Yaani... HUYO JAMA NI M-PU MBA FU..
 
Moderators hebu piteni huku..Kuna watu wana mapuuza!!
 
Me napingana na wote wanaounga mkono hii thread!! Si kweli kua mada zote zilizopitwa na wakati hazina maana!! Shida ni msomaji wa hiyo mada.. Kwa nini usiangalie tar ya post?? Kama outdated achana nayo sio unakimbilia kucomment tu!! Siwalaumu wanao update post maana wanatufanya tujue mengi.!! Big up kwa wote wenye hii tabia
 
pitia hizo mada zilizopitwa na wakati ambazo zimekujuza mengi.. zaid ya kuwapanikisha watu bure.. kitu cha mwaka 2005..
 
Mfano mada inasema hivi (Walochaguliwa wizara ya afya awamu ya pili) Mwaka ni 2012 mtu anaipaisha leo mwaka 2013 sasa ndo nini?!
 
pitia hizo mada zilizopitwa na wakati ambazo zimekujuza mengi.. zaid ya kuwapanikisha watu bure.. kitu cha mwaka 2005..

Sasa afande kama umesoma tar ya post wewe itakupunguzia nini? Shida yetu wengi tunasoma title ya post pekee na kusahau kupitia tar
 
uko sahihi but waangalie ni wakati gani wa kuzipaisha habari zilizopita kwasababu akili zetu wengi tunasubiri kwa hamu hilo suala la mkopo,kwahiyo anatupa wakati mgumu some time...
 
Tukubali tu kwamba kuna old post ambazo zinaweza zikatusaidia hata leo!! Hebu pitia zile za kupata gpa kali chuoni,tuhuma juu ya Mwl Nyerere college, Kutokutambulika kwa KIU na ile mijadala ya chuo bora.. Je haukupata kitu kupitia zile old posts? Sasa unapomtukana mtoa mada tukueleweje? Are you zero thinker? Husomi tarehe ya post? Think before!!
 
great thinkers? Someni tarehe kabla hujarukia kusoma habari kamili. communication skills zero!
 
Me napingana na wote wanaounga mkono hii thread!! Si kweli kua mada zote zilizopitwa na wakati hazina maana!! Shida ni msomaji wa hiyo mada.. Kwa nini usiangalie tar ya post?? Kama outdated achana nayo sio unakimbilia kucomment tu!! Siwalaumu wanao update post maana wanatufanya tujue mengi.!! Big up kwa wote wenye hii tabia

hapana inaboa sana
 
Me napingana na wote wanaounga mkono hii thread!! Si kweli kua mada zote zilizopitwa na wakati hazina maana!! Shida ni msomaji wa hiyo mada.. Kwa nini usiangalie tar ya post?? Kama outdated achana nayo sio unakimbilia kucomment tu!! Siwalaumu wanao update post maana wanatufanya tujue mengi.!! Big up kwa wote wenye hii tabia!
Umesupport kitu ambacho kimesound bad, ppl wanawait kujua heslb wamewapa nini ili kujitathmin wafanye nini, then mtu anaupdate thread ya 2011 inayoamsha, Kweli tuifurahie? Unfair judgement imetumika.
"S/he wasnt serious."
 
acha kulaumu laumu vp wewe ina mana hujui kusoma tarehe acha ujinga we ni mkubwa ila hamnazo kuna thread zingine za zamani ila zina maana
 
Back
Top Bottom