Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama


Tatizo la vyuo vya tanzania vinafundisha watu wasubiri watu.
Ndio maana jeshini ufundisha kupigana ili ukimaliza mda wowote unaweza kukabili lolote.
Hii ndio tofauti
 
Sasa hivi nchi ni miliki ya mtu binafsi na washirika wake
 
"Kama watautendea hivi kwa mti mbichi itakuwaje kwa mti mkavu".
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yesu yu hai jamani tusomeni biblia fursa zipo nyingi sana.
 
Ww n pimbi sn ujue aya nletee hyo Comment nloandika.
Itafute humu mlipotaka kumpeleka ICC
 
Labda awe mwislamu sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui kwanini?
Sasa mbona waislamu nao mliwapeleka ICC? Labda awe mpagani, au sio?
 
Una maanisha Jakaya alikuwa akifanya makosa?? Nenda kasali upesi kwan una dalili za kuanza kuwa mchawi
Ikawaje Tena mkawa mnasema hafai?
Tafuta comment yako humo ukimtukana kipindi hicho
 
Una maanisha Jakaya alikuwa akifanya makosa?? Nenda kasali upesi kwan una dalili za kuanza kuwa mchawi
Kama hakufanya makosa ikawaje mkampelema ICC?
 
😁😁 mbele bila kusita ngja nmalize tu
 
Research yako umefanyia mtaani kwenu tuu, mm nimesoma Arusha technical college, pale kulikuw na jamaa zangu wa veta nimeenda kufanya nao installation kwenye majumba ya watu, though sikuw profes
Assumption iko invalid,hizo fursa zilizopo zitaje I DARE YOU, watu wanasoma hapa eleza ulipataje kazi na hao ma genious wanafeli wapi?....
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ushaona STD 7 wanavyodrive huko kitaaa?, Kupata degree kwa Watz wengi imekuwa Kama ulemavu wa akili au upofu, toka nje ya ulipo kwa shemπŸ˜‹ utaziona, ukisubir kila k2 kikukute Jf u will be too late to catch the moving train
 
Mimi mwenyewe nataka niende mbele, hebu tupeana routes mapema
 
Tunajenga flyovers,na DRC
 
Mimi nimegraduate tangu 2016 nikiwa na miaka 26 mpaka leo nimefikisha miaka 31 bila bila.

Shetani [emoji216] kakanyaga waya.
Miaka 31 unakuja kujisifu hapa kwa kushindwa kujitegemea! Very stupid. Endelea kusubiri ugonge 40 ndiyo utajua serikali haipo kuajiri watu.
 
Siyo kibao wewe.Acha kutumika na mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…