Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.

Tatizo la vyuo vya tanzania vinafundisha watu wasubiri watu.
Ndio maana jeshini ufundisha kupigana ili ukimaliza mda wowote unaweza kukabili lolote.
Hii ndio tofauti
 
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Sasa hivi nchi ni miliki ya mtu binafsi na washirika wake
 
"Kama watautendea hivi kwa mti mbichi itakuwaje kwa mti mkavu".
😂😂😂😂😂😂😂
Yesu yu hai jamani tusomeni biblia fursa zipo nyingi sana.
 
Ww n pimbi sn ujue aya nletee hyo Comment nloandika.
Itafute humu mlipotaka kumpeleka ICC
 
Labda awe mwislamu sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui kwanini?
Sasa mbona waislamu nao mliwapeleka ICC? Labda awe mpagani, au sio?
 
Una maanisha Jakaya alikuwa akifanya makosa?? Nenda kasali upesi kwan una dalili za kuanza kuwa mchawi
Ikawaje Tena mkawa mnasema hafai?
Tafuta comment yako humo ukimtukana kipindi hicho
 
Una maanisha Jakaya alikuwa akifanya makosa?? Nenda kasali upesi kwan una dalili za kuanza kuwa mchawi
Kama hakufanya makosa ikawaje mkampelema ICC?
 
Mimi na vile nimegundua kuna retention fee na zile interest zinaongezeka. Niko na mpango nikimaliza tu nitembee mambele uko nibebe box. Ajira zenyewe hamna ndio maana hata kusoma huwa nakata tamaa niko bize na mishe za kitaa na kusoma vitu kibao ambavyo sitajibia ila nitaishi navyo.

Kwanza sina imani kama huyu mkemia anaondoka 2025
😁😁 mbele bila kusita ngja nmalize tu
 
Tenda atazipata wapi wakati wamejazana kibao mtaani as a result tenda zinaenda kwa kujuana au unamtafuta ndugu yako afunge tu. Wasomi wamerunrikwa mtaani Kama makopa kila kitu imekuwa shida. Mpaka kazi za ubarmaid imekuwa kujuana kwa sababu so personel wapo mtaani hawana Cha kufanya
Research yako umefanyia mtaani kwenu tuu, mm nimesoma Arusha technical college, pale kulikuw na jamaa zangu wa veta nimeenda kufanya nao installation kwenye majumba ya watu, though sikuw profes
Assumption iko invalid,hizo fursa zilizopo zitaje I DARE YOU, watu wanasoma hapa eleza ulipataje kazi na hao ma genious wanafeli wapi?....
😂😂 Ushaona STD 7 wanavyodrive huko kitaaa?, Kupata degree kwa Watz wengi imekuwa Kama ulemavu wa akili au upofu, toka nje ya ulipo kwa shem😋 utaziona, ukisubir kila k2 kikukute Jf u will be too late to catch the moving train
 
Mimi na vile nimegundua kuna retention fee na zile interest zinaongezeka. Niko na mpango nikimaliza tu nitembee mambele uko nibebe box. Ajira zenyewe hamna ndio maana hata kusoma huwa nakata tamaa niko bize na mishe za kitaa na kusoma vitu kibao ambavyo sitajibia ila nitaishi navyo.

Kwanza sina imani kama huyu mkemia anaondoka 2025
Mimi mwenyewe nataka niende mbele, hebu tupeana routes mapema
 
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi
Tunajenga flyovers,na DRC
 
Mimi nimegraduate tangu 2016 nikiwa na miaka 26 mpaka leo nimefikisha miaka 31 bila bila.

Shetani [emoji216] kakanyaga waya.
Miaka 31 unakuja kujisifu hapa kwa kushindwa kujitegemea! Very stupid. Endelea kusubiri ugonge 40 ndiyo utajua serikali haipo kuajiri watu.
 
Mleta mada ulihondika kama umesoma na huna kazi ni sawa na ni haki yako sababu kichwani huna kitu kichwani
Ulitakiwa kama msomi useme baadhi ya ajira zimezimwa uliposema zote zimezimwa ndio ubwege wako nikauona hadi.Serikali imeajiri karibuni walimu na madaktari kibao wewe unasema zote zimezimwa very sad kuwa na wasomi koko kama wewe
Siyo kibao wewe.Acha kutumika na mabeberu.
 
Back
Top Bottom