Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Eeh jk aliweza kuajiri? Una funza kichwani?
Ww ndio mwenye funza kichwan... Kipind cha Jk madogo jeshin walikuwa hawarud nyumbn wote walikuwa wanapata ajira lkn sasa hv Op karbu mbili zko mtaani wanazurura tu, walimu walikuwa wanapata ajira fasta tena bila kuomba unakuta umeshapangiwa shule, manesi walikuwa wakipata nafasi bwerere, madaktar wa mifugo nafas zlkuwa znaonekana.... Sasa hv hakuna la maana, mambo yamekuwa hovyoo unachopinga hapo nn??
 
Hakuna Graduate, mfanyabiashara wala mtumishi asiyemkumbuka Kikwete.
Mara kadhaa nimekuwa nikiwaita kuwa nyie ni wajinga.
Hapa mlikuwa mnamtukana kwenye hii thread, na mlisubiria kwa hamu aondoke. Leo unasema?
....nyambaaaf...
 
Sitaki kukutukana Ila pitia hii thread kipindi Cha kikwete. Ukimaliza kusoma sema "Mimi ni mjinga"
 
Ni kweli mkuu, angefanya ku balance mambo, sio kila kitu kuwekeza kwenye kununua mandege
Hapo ndipo mkuu alipochemka; kuwekeza kwenye vitu na si watu!! Ni sawa na kuamua kutolipa ada ya wanao na pesa hizo ukatumia kununulia kiwanja.
 
TANZANIA INAONGOZWA NA MSHAMBA NI LAZINA TUUMIE NDUGU ZANGU HUO NDO UKWELI WENYEWE WALA HAKUNA UBISHI JUU YA HILI. PIA HILI NI ZAO LA UJUAJI WA MKAPA NA WENZAKE
 
Ww hujielew aisee yani ktk hoja zote hapo unaenda tafuta single point ya jkt hv ratio ya walikosa kipnd cha kikwete na hawa ambao wana miaka mitano ni sawa?? Aya tuache ya jkt hao walim kipnd cha jk walikuwa wanazurura mtaani?? Kipnd cha jk kulikuwa hakuna increment na kupanda vyeo??
 
Nani kakwambia kuwa kazi ya serikali siyo kuajiri. Kwa hiyo unataka kuaema madaktari, manesi na walimu wakaajiliwe na mo dewji kwenye hospitali au shule za serikali
Bora hata umemjibu huyo motivational speaker
 
Kazi ya serikali sio kuajiri. Huko vyuoni mnaposoma huwa mnaambiwa mkimaliza mtaajiriwa?
Acha kuongea kama zuzu mzee. Hata kama unalipwa kwa ku spin lakini kuwa na akili kidogo wapo watu waliomaliza shule miaka hiyo mpaka leo wameajiriwa . Kweli kazi ya serikali siyo kuajiri unategemea mtu aliyemaliza degree ya sociology mwaka jana akajiajiri wapi???
 
Kwa taarifa yako nchi ina move forward agua nchi kurudi kwenye laissez fair Type of administration ya Kikwete
Raisi Magufuli kaweka msingi kuwa ukitaka nchi iende uwe mnyapara usichekecheke kama Kikwete iwe na watendaji au wanasiasa
Hakuna kinachoenda sasa hivi. Kila Kitu kimekwama. Hata kuajiri Serikali imeshindwa utafikiri tunatoka vita ya Kagera.

Na amebakiza miaka 3 tu asepe na hiyo miradi yake ya 10% yote imeflop. ATCL, Stigler's Gorge na SGR.

Hakuna atakachofanikisha, ni epic failure.

Na kibaya zaidi ana roho ya uharibifu, akigusa kitu tu lazima kivurugike. Waulize wakulima wa Korosho Mtwara, Mbaazi.

Yaani hata Tundu Lissu ambaye lilipanga awe ameshazikwa kwao Ikungi baada ya shambulio la kikatili yuko Belgium.
 
Kazi ya serikali sio kuajiri. Huko vyuoni mnaposoma huwa mnaambiwa mkimaliza mtaajiriwa?
Tatizo la mbumbumbu hilo. Anaulizia wanayoambiwa vyuoni. Hutoka wapi hawa mbilikimo wa akili? Kazi ya serkali ni kusomesha tu na sio kuajiri? You must be full blown nuts. You, you nincompoop. Bodi kubwa ya mikopo. Wanaambiwa wataalamu wa hili au lile wanahitajika sana and urgently. Huko vyuo vikuu tena. Vijana wanajipinda. Kwao hakuna jm1 au juma ngapi. Wanachojua ni kitabu. Hadi vitabu vinanung'unika. Na wale wengine utasikia ufaulu umeongezeka. Hayo ndiyo wanayoambiwa we fala! Umeuliza, nimekujibu.
 
Mimi na vile nimegundua kuna retention fee na zile interest zinaongezeka. Niko na mpango nikimaliza tu nitembee mambele uko nibebe box. Ajira zenyewe hamna ndio maana hata kusoma huwa nakata tamaa niko bize na mishe za kitaa na kusoma vitu kibao ambavyo sitajibia ila nitaishi navyo.

Kwanza sina imani kama huyu mkemia anaondoka 2025
 
Sentensi yako ya mwisho sijaipenda sana.Wewe sema hivi, MTU kama amrkosea, muombeeni arekebishe kwa nguvu za Mungu
 
Maajabu ya dunia nchi kama Tanzania Medical doctors/Pharmacists/Nurses na degree zao wanakaa mtaani hawana ajira huku ratio ya healthcare workers to patients ikiwa bado kubwa sana..

Hili tu linatosha kuonyesha how bad things are..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…