Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Moja ya komenti mavi iliyotolewa na mtu mavi.
Ajabu ni kwamba mtoa post hii huenda ana hali ngumu ya kimaisha au ni mtumishi wa umma
Nna Hali ngumu kimaisha? Alafu wewe mwenye Hali nzuri kazi yako ni kukaa humu jf kulialia serikali ikuajiri?
 
Jpm alibugi step from day one pale alipoanza kudharau Marais waliopita na kuwaona hawakufanya kitu wakati ndo walifanya kitu kumzidi yeye anayepuyanga tu. Jk alimaliza wimbi kwa kuajiri walimu kila mwaka na madaktari lakini huyi toka aingia anawarundika mtaani tu
Nyie watu mnapaswa mchapwe mijeledi Hadi akili zikae sawa
Nyie ndio mlimtukana jk hadi mkaweka maadhimisho ya siku aliyotoka madarakani. Alafu unakuja Sasa hivi kutema pumba
 
Kazi ya serikali sio kuajiri. Na HAKUNA ambaye anaendaa chuoni kusoma alafu akaambiwa akimaliza serikali itamuajiri
Nina wasiwasi kama umesoma wewe. Hakuna anayeenda chuoni kusoma. Hakuna hata mmoja. Wanaenda kusomea taaluma. Wanaosoma ni chekechea kama wewe. Mkijua hiyo kkk yenu ndio mnaleta shida mnazoita mabandiko yenu. Kwenye hii mada moja tu umeitwa kila aina ya jina la hovyo. Wanaenda kusomea taaluma inayoajirika kirahisi. Sio serkali imwambie itamwajiri. Yeye mwenyewe anapiga hesabu wakati anafuzu ajira kwenye taaluma husika itakuwaje.
 
Kwa hiyo unasubiri serikali ikuajiri??
Haya subiri au endelea kulialia humu, si ndio kazi unayoiweza?
-serikali pia ni muajiri hilo halipingiki kwa sababu serikali ina taasisi zake mfano Shule, Hospital, Mahakama,nk ambazo hizo zinahitaji wataalam wa kujaza nafasi za kazi
- sekta binafsi ndiyo inayoongoza kutoa ajira Nchini, hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha sekta binafsi inakuwa ili kuongeza ajira huko sekta binafsi .
 
`Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Inaonekana vyuo vyetu vinafaulisha vijana ambao hawajaelimika.
Mngekuwa mmeelimika mngejua kwamba ajira hakuna.
Ajira ni zao la kukua kwa UCHUMI. Hakukuwepo na uwiano wa ukuaji elimu ukilinisha na uchumi.
Kwa mfano mwaka 90 wilaya yangu ilikuwa inafaulisha watoto 60, mkoa wangu ulikuwa na shule 12 na tulikuwa na vyuo vikuu 2 tu. Leo wanafunzi 60 wanafaulu kutoka shule moja ya kijijini hapa wilayani kwangu.
Mkoa mzima zinakaribia sekondari 200. Vyuo vikuu nchini sasa vinakaribia 50. Umewahi kujiuliza huu ni ukuaji wa % ngapi!?
Hata ajira zilizokuwepo kipindi cha JK nyingi zililenga kuhudumia ukuaji wa sekta ya elimu.. ndipo tukaona ajira za walimu wa msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu. Sekta hii ndio iliajiri kwa wingi. Kama kuna msomi hajui haya basi huyo hajaelimika ni bure kabisaa
 
Kwa hiyo uchumi wetu ni dormant haukui. Sasa mbona anajimwambafy unakua kwa 7% aache kuropoka na kudanganya Uma. Aseme ukweli nchi imemshinda.
 
Inaonekana vyuo vyetu vinafaulisha vijana ambao hawajaelimika.
Mngekuwa mmeelimika mngejua kwamba ajira hakuna.
Ajira ni zao la kukua kwa UCHUMI. Hakukuwepo na uwiano wa ukuaji elimu ukilinisha na uchumi.
Kwa mfano mwaka 90 wilaya yangu ilikuwa inafaulisha watoto 60, mkoa wangu ulikuwa na shule 12 na tulikuwa na vyuo vikuu 2 tu. Leo wanafunzi 60 wanafaulu kutoka shule moja ya kijijini hapa wilayani kwangu.
Mkoa mzima zinakaribia sekondari 200. Vyuo vikuu nchini sasa vinakaribia 50. Umewahi kujiuliza huu ni ukuaji wa % ngapi!?
Hata ajira zilizokuwepo kipindi cha JK nyingi zililenga kuhudumia ukuaji wa sekta ya elimu.. ndipo tukaona ajira za walimu wa msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu. Sekta hii ndio iliajiri kwa wingi. Kama kuna msomi hajui haya basi huyo hajaelimika ni bure kabisaa
Kwani alisema nchi imemshinda halafu watu wenye akiri wakamsaidia Kuna tatizo gani kuliko kuwatesa watu halafu anadanganya watu eti nchi hii ni tajiri sana
 
Unamaanisha wizara ya madini kila mwaka iwe inaajiri tu? Wawe hata wakurugenzi 100?ili tu ionekane wanaajiri?
Tena hapo umegusa penyewe.
Hii wizara imefeli kwa kiasi kikubwa sana, mikataba mingi ya makampuni ya uwekezaji ime cease contract baada ya serikali kuwa na sabb nyingi za kipuuzi tu.
kwa kisingizio eti tumeibiwa sana!
 
Inaonekana vyuo vyetu vinafaulisha vijana ambao hawajaelimika.
Mngekuwa mmeelimika mngejua kwamba ajira hakuna.
Ajira ni zao la kukua kwa UCHUMI. Hakukuwepo na uwiano wa ukuaji elimu ukilinisha na uchumi.
Kwa mfano mwaka 90 wilaya yangu ilikuwa inafaulisha watoto 60, mkoa wangu ulikuwa na shule 12 na tulikuwa na vyuo vikuu 2 tu. Leo wanafunzi 60 wanafaulu kutoka shule moja ya kijijini hapa wilayani kwangu.
Mkoa mzima zinakaribia sekondari 200. Vyuo vikuu nchini sasa vinakaribia 50. Umewahi kujiuliza huu ni ukuaji wa % ngapi!?
Hata ajira zilizokuwepo kipindi cha JK nyingi zililenga kuhudumia ukuaji wa sekta ya elimu.. ndipo tukaona ajira za walimu wa msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu. Sekta hii ndio iliajiri kwa wingi. Kama kuna msomi hajui haya basi huyo hajaelimika ni bure kabisaa
Mkuu naomba nikuulize swali. Kuna tasis moja ya elimu ya juu ma secretary kadhaa wamestaafu miaka mitatu iliyopita na hakuna replacement mpaka Leo , je unafikiri sababu ni huo uchumi unao uongelea? Kuna swali la nyonheza ukijibu hili
 
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Mkuu,

Unamaanisha hawa wahitimu tena kutoka vikongwe kama UDSM wanaowasilisha maombi ya kazi katika moja ya mistari ya barua yanasomeka hivi nanukuu, "...Before I requested to connect university level, I connected to the 'Building National Army' for three months experiencing diffulty moments....."? Kweli wanalalamika hawana ajira mchawi ni wao wenyewe?

Ama unamaanisha hao waliofanikiwa kupata ajira huko serikalini, umma au binafsi ambao wanatupa taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii zenye lugha isiyo sahihi na weledi kwamba nanukuu, "....Tanzania is neither intimdated nor intimidated.....Membe poured out ACT Patriots............Learn About Army Tape Disease.........the Chadema women member eat MP special seats in parliament..." It is very shameful for such Swahil thinkingi being directly translated to English version literature that is absolutely meaningless to deliver the right message for the intended purpose to the audience.. To be precise most of the university graduates in Tanzania are incompetent, non-confident, lack consistent practical skills in the fields they speacilized and do not understand on how to interpret the theories into practice for effective managing the surrounding challenges. We need much practicable skills to ensure well transformed products in producing quality standard furnitures by using raw materials available from Tanzania thereafter exported to the international market as supplement to the products deficit to stake teh economic growth on both individuals, organizations and country as a whole.
 
Nna Hali ngumu kimaisha? Alafu wewe mwenye Hali nzuri kazi yako ni kukaa humu jf kulialia serikali ikuajiri?
Mimi sililii ajira. Sina ubinafsi kama wewe.
Nimeajiriwa permanently serikalini ninastaafu 2050.
Mtu anaposema nchi hii ina njaa haina maana kuwa yeye analala njaa. Lazima tuuaeme ukweli. Serikali hii haiajiri, watumishi hustaafu kila leo na ajira mpya hakuna.
Ofisini kwetu tangu mimi niripoti kazini 30 Juni 2015 hajaajiriwa mtumishi mpya mpaka leo hii.
 
Huko mbele wao kazi yao ni kukuwekea wewe nafasi ya kwenda kubeba boksi?
DV lottery na hizi Canadian VISA ni mifano. Wapi ulisikia Tanzania inashawishi wageni wa kada za chini kama manesi na madereva waje kufanya kazi. Mambele wanabembeleza wenye vigezo waende tena wanashawishi watu wao kutembelea nchi nyingine kutafuta fursa.
Sisi akija mgeni anaitwa beberu na akiondoka mwenyeji tunanadai sio mzalendo.
 
Kazi ya serikal ni kutengeneza mchaka wa ajira kupatikana kwa wingi. Wether ni private or gov based.
The issue now serikalin ajira zimepungua sana. Sio kama enzi za jk.
Lazima ujue privaye sector ndio yenye mlango mkubwa wa kuajiri kwa sasa.
Ajira za serikal ni un-predictable kwa sasa
Ulichosema ni sahihi chief. Tatizo ni kwamba kwenye private sector biashara zinafungwa kwenye awamu hii. Kiwanda cha nguo mazava morogoro kimefungwa na vijaka kama elfu moja wamekuwa un employed. Kiwanda cha tumbaku poa kimefungwa ajira zaidi ya miatano zimepotea. Sera za uchumi awamu hii ya uraisi zimechangia kwenye upotevu was ajira
 
Kuna umuhimu wa mtaala wa ufundi uende sambamba na mtaala wa Sekondari.

Tatizo ni hili limtaala la kikoloni tulilolirithi...

We need a Nationwide concern over this matter.
 
After Std 7 wawepo wachache wa kuendelea na hili limtaala la kikoloni..

Wengine waende kilimo...

Wengine waende ufundi....

Otherwise tatizo haliji isha kamweee.
 
Hv unadhan aliewaita hawa kuwa ni mataga alikosea???
Nani kakwambia kuwa kazi ya serikali siyo kuajiri. Kwa hiyo unataka kuaema madaktari, manesi na walimu wakaajiliwe na mo dewji kwenye hospitali au shule za serikali
 
Back
Top Bottom