Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
HAKUNA fact hapo, ni kulialia tu.Ukubaliane na nani? Kutoa fact ni kulialia????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAKUNA fact hapo, ni kulialia tu.Ukubaliane na nani? Kutoa fact ni kulialia????
Umesomea chuo gani? Maana tatizo linaeza lisiwe lakoKwa hiyo uchumi wetu ni dormant haukui. Sasa mbona anajimwambafy unakua kwa 7% aache kuropoka na kudanganya Uma. Aseme ukweli nchi imemshinda.
Kuandika tu hujui, alafu unataka serikali ikuajiri?Akili hizi zinapatikana rumumba tu
Unaeteseka ni wewe, na utateseka Sana. Ajira pekee ulitonayo ni kupost jfKwani alisema nchi imemshinda halafu watu wenye akiri wakamsaidia Kuna tatizo gani kuliko kuwatesa watu halafu anadanganya watu eti nchi hii ni tajiri sana
Unataka kwenda kuwa secretary? Wapo wangapo hao maseceretary waliostaff?Mkuu naomba nikuulize swali. Kuna tasis moja ya elimu ya juu ma secretary kadhaa wamestaafu miaka mitatu iliyopita na hakuna replacement mpaka Leo , je unafikiri sababu ni huo uchumi unao uongelea? Kuna swali la nyonheza ukijibu hili
Usiwe mtumwa wa historia dunia inaenda mbio mno hata kikwete ya Nyerere yalimshinda kipindi cha Nyerere hakuna four au form six aliyekosa kazi serikalini hadi darasa la saba kipindi cha Nyerere waliajiriwa kama walimu shule za msingi wa UPE na maafisa wa jeshi na polisi!!!
Alivyoingia Kikwete hakuendelea nayo sababu wasomi walikuwa kibao!!!
Uskariri ya Kikwete dunia inasonga mbele haiko kwenye past iko kwenye present na future.Ondokana na past mentality kama unataka kutoka kimaisha
Upo ofisi gani? Inawezekana vipi unashinda jf 24/7??Mimi sililii ajira. Sina ubinafsi kama wewe.
Nimeajiriwa permanently serikalini ninastaafu 2050.
Mtu anaposema nchi hii ina njaa haina maana kuwa yeye analala njaa. Lazima tuuaeme ukweli. Serikali hii haiajiri, watumishi hustaafu kila leo na ajira mpya hakuna.
Ofisini kwetu tangu mimi niripoti kazini 30 Juni 2015 hajaajiriwa mtumishi mpya mpaka leo hii.
Umeona ulivyokuwa juha? Sasa Kama huko mbele wanabembeleza watu kwenda kufanya kazi iweje uje ulielie humu kuwa HAKUNA ajira?DV lottery na hizi Canadian VISA ni mifano. Wapi ulisikia Tanzania inashawishi wageni wa kada za chini kama manesi na madereva waje kufanya kazi. Mambele wanabembeleza wenye vigezo waende tena wanashawishi watu wao kutembelea nchi nyingine kutafuta fursa.
Sisi akija mgeni anaitwa beberu na akiondoka mwenyeji tunanadai sio mzalendo.
Ataondoka akishakamilisha miradi yake yote aliyoianzishaMimi na vile nimegundua kuna retention fee na zile interest zinaongezeka. Niko na mpango nikimaliza tu nitembee mambele uko nibebe box. Ajira zenyewe hamna ndio maana hata kusoma huwa nakata tamaa niko bize na mishe za kitaa na kusoma vitu kibao ambavyo sitajibia ila nitaishi navyo.
Kwanza sina imani kama huyu mkemia anaondoka 2025
Kwani we unaona ajira zipo?Umeona ulivyokuwa juha? Sasa Kama huko mbele wanabembeleza watu kwenda kufanya kazi iweje uje ulielie humu kuwa HAKUNA ajira?
Hili dubwashaAtaondoka akishakamilisha miradi yake yote aliyoianzisha
Umesomea nini?maana hili swali linapaswa kuanza kabla ya mjadala.Naona nguchiro unabwabwaja tu kukwepa swali la msingi,vp sasa kuwa walimu,madktari wamejaa serikalin na hawastaafu co???
Zipo nyingi tu, Tena hakuna sehemu Kuna ajira za burebure Kama TanzaniaKwani we unaona ajira zipo?
Au ndo zile wanatangaza wataajiri walimu 13,000 halafu wanaajiri walimu 1000 halafu wanajaza majina ya waliopo kwenye ajira tayari na kusema wameajiri 800. Ajira zilikuwepo kipindi Cha kikwete. Sasa hivi ni siasa tu kwenda mbele na uongo wa kufa mtuZipo nyingi tu, Tena hakuna sehemu Kuna ajira za burebure Kama Tanzania
Nyie wengine kwa makusudi akili zenu mmeamua kumpa ontario ili awape mbinu za kudownload pesa au kuwapa QNET ili muwe mabilionea baada ya wiki
Karanga tra wanakufilisi kwa mikodi kibao. Kwa ujumla nchi imeharibikaDaktar hata ukiuza karanga kitaa haikatai, usikalili kuwa Kama ulisomea professional flan lazma uajiliwe huko, u will die poor 😂😂😂
Nabado,hizo ni cheche bado moto kuchoma.Maajabu ya dunia nchi kama Tanzania Medical doctors/Pharmacists/Nurses na degree zao wanakaa mtaani hawana ajira huku ratio ya healthcare workers to patients ikiwa bado kubwa sana..
Hili tu linatosha kuonyesha how bad things are..
Kipindi cha jk walimu walikuwa wanachuliwa vyuoni moja kwa moja na walikuwa hawatoshi. Mtu alimaliza anaajira instantly labda ukatae kazi mwenyewe ka sababu kipindi kile private zilikuwa nyingi na zinalipa. Halafu ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao mpaka polisi. Madaktari mpaka walikuwa wanabembelezwa wakafanye kazi. Ila jpm kaja kuharibu kila kitu
Kujiajiri huo siyo ujanja mkuu. Hiyo ni failure of thinking Kama ulivyosema we ni engineer na Mara nyingi ma engineer hawanaga akiri ya kufiri cause and effect ya tatizo wao wanaona sawa tu hata wakikatwa shingo. Demand your rights of being employed by the government you voted for or which stole your votesWasomi wengii saiz, afu watu wengi wanakimbilia coz ambazo hazna market na kujiajil n vgum, idadi ya wasom 2005 na 2020 n tofaut sana, am an engineer by professional but nimejikita kwenye business na kilimo saiz, sasa we n bach ya Education ya history jifanye unabagua Kaz, uzee ndo huo utapata ajira mwaka mmoja unastaafu😂😂