Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Kwani alisema nchi imemshinda halafu watu wenye akiri wakamsaidia Kuna tatizo gani kuliko kuwatesa watu halafu anadanganya watu eti nchi hii ni tajiri sana
Unaeteseka ni wewe, na utateseka Sana. Ajira pekee ulitonayo ni kupost jf
 
Mkuu naomba nikuulize swali. Kuna tasis moja ya elimu ya juu ma secretary kadhaa wamestaafu miaka mitatu iliyopita na hakuna replacement mpaka Leo , je unafikiri sababu ni huo uchumi unao uongelea? Kuna swali la nyonheza ukijibu hili
Unataka kwenda kuwa secretary? Wapo wangapo hao maseceretary waliostaff?
 
Naona nguchiro unabwabwaja tu kukwepa swali la msingi,vp sasa kuwa walimu,madktari wamejaa serikalin na hawastaafu co???
Usiwe mtumwa wa historia dunia inaenda mbio mno hata kikwete ya Nyerere yalimshinda kipindi cha Nyerere hakuna four au form six aliyekosa kazi serikalini hadi darasa la saba kipindi cha Nyerere waliajiriwa kama walimu shule za msingi wa UPE na maafisa wa jeshi na polisi!!!

Alivyoingia Kikwete hakuendelea nayo sababu wasomi walikuwa kibao!!!

Uskariri ya Kikwete dunia inasonga mbele haiko kwenye past iko kwenye present na future.Ondokana na past mentality kama unataka kutoka kimaisha
 
Mimi sililii ajira. Sina ubinafsi kama wewe.
Nimeajiriwa permanently serikalini ninastaafu 2050.
Mtu anaposema nchi hii ina njaa haina maana kuwa yeye analala njaa. Lazima tuuaeme ukweli. Serikali hii haiajiri, watumishi hustaafu kila leo na ajira mpya hakuna.
Ofisini kwetu tangu mimi niripoti kazini 30 Juni 2015 hajaajiriwa mtumishi mpya mpaka leo hii.
Upo ofisi gani? Inawezekana vipi unashinda jf 24/7??
Nyie ndio mnaosababisha pengine serikali isiendelee kuajiri kwa kudhani nafasi zinatosha kumbe hamna kitu kabisa empty head
 
DV lottery na hizi Canadian VISA ni mifano. Wapi ulisikia Tanzania inashawishi wageni wa kada za chini kama manesi na madereva waje kufanya kazi. Mambele wanabembeleza wenye vigezo waende tena wanashawishi watu wao kutembelea nchi nyingine kutafuta fursa.
Sisi akija mgeni anaitwa beberu na akiondoka mwenyeji tunanadai sio mzalendo.
Umeona ulivyokuwa juha? Sasa Kama huko mbele wanabembeleza watu kwenda kufanya kazi iweje uje ulielie humu kuwa HAKUNA ajira?
 
Mimi na vile nimegundua kuna retention fee na zile interest zinaongezeka. Niko na mpango nikimaliza tu nitembee mambele uko nibebe box. Ajira zenyewe hamna ndio maana hata kusoma huwa nakata tamaa niko bize na mishe za kitaa na kusoma vitu kibao ambavyo sitajibia ila nitaishi navyo.

Kwanza sina imani kama huyu mkemia anaondoka 2025
Ataondoka akishakamilisha miradi yake yote aliyoianzisha
 
Naona nguchiro unabwabwaja tu kukwepa swali la msingi,vp sasa kuwa walimu,madktari wamejaa serikalin na hawastaafu co???
Umesomea nini?maana hili swali linapaswa kuanza kabla ya mjadala.
Wengine hamna hata ubongo Ila mnatkaa kujadili mada kubwakubwa Kama hizi na werevu
 
Kwani we unaona ajira zipo?
Zipo nyingi tu, Tena hakuna sehemu Kuna ajira za burebure Kama Tanzania
Nyie wengine kwa makusudi akili zenu mmeamua kumpa ontario ili awape mbinu za kudownload pesa au kuwapa QNET ili muwe mabilionea baada ya wiki
 
Huyu mzee anajenga sana madaraja, mabara bara, reli na kununua ndege ili ata siku akiitwa kwenye makazi yake ya kudumu akumbukwe kwa hivyo vitu..Yani ktk fikra zake anataka aache legacy ya miundo mbinu...Lakn yote hayo ni sawa na kazi bure kama hatoboresha maisha ya vijana watamkumbuka kwa mabaya aliyowatendea ikiwemo kuwanyima ajira na kuwafanya waishi maisha ya ukata.....

mi pamoja na kumkubali kwa mambo mengi kila nikifika kwenye suala la ajira na kuona jinsi vijana wenzangu wanavyoteseka huku mitaani na degree zao huwa naghafirika sana na ndio mwanzo wa kuchukia utawala wake....
 
Daktar hata ukiuza karanga kitaa haikatai, usikalili kuwa Kama ulisomea professional flan lazma uajiliwe huko, u will die poor 😂😂😂
 
Zipo nyingi tu, Tena hakuna sehemu Kuna ajira za burebure Kama Tanzania
Nyie wengine kwa makusudi akili zenu mmeamua kumpa ontario ili awape mbinu za kudownload pesa au kuwapa QNET ili muwe mabilionea baada ya wiki
Au ndo zile wanatangaza wataajiri walimu 13,000 halafu wanaajiri walimu 1000 halafu wanajaza majina ya waliopo kwenye ajira tayari na kusema wameajiri 800. Ajira zilikuwepo kipindi Cha kikwete. Sasa hivi ni siasa tu kwenda mbele na uongo wa kufa mtu
 
Maajabu ya dunia nchi kama Tanzania Medical doctors/Pharmacists/Nurses na degree zao wanakaa mtaani hawana ajira huku ratio ya healthcare workers to patients ikiwa bado kubwa sana..

Hili tu linatosha kuonyesha how bad things are..
Nabado,hizo ni cheche bado moto kuchoma.
 
Wasomi wengii saiz, afu watu wengi wanakimbilia coz ambazo hazna market na kujiajil n vgum, idadi ya wasom 2005 na 2020 n tofaut sana, am an engineer by professional but nimejikita kwenye business na kilimo saiz, sasa we n bach ya Education ya history jifanye unabagua Kaz, uzee ndo huo utapata ajira mwaka mmoja unastaafu😂😂
Kipindi cha jk walimu walikuwa wanachuliwa vyuoni moja kwa moja na walikuwa hawatoshi. Mtu alimaliza anaajira instantly labda ukatae kazi mwenyewe ka sababu kipindi kile private zilikuwa nyingi na zinalipa. Halafu ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao mpaka polisi. Madaktari mpaka walikuwa wanabembelezwa wakafanye kazi. Ila jpm kaja kuharibu kila kitu
 
Wasomi wengii saiz, afu watu wengi wanakimbilia coz ambazo hazna market na kujiajil n vgum, idadi ya wasom 2005 na 2020 n tofaut sana, am an engineer by professional but nimejikita kwenye business na kilimo saiz, sasa we n bach ya Education ya history jifanye unabagua Kaz, uzee ndo huo utapata ajira mwaka mmoja unastaafu😂😂
Kujiajiri huo siyo ujanja mkuu. Hiyo ni failure of thinking Kama ulivyosema we ni engineer na Mara nyingi ma engineer hawanaga akiri ya kufiri cause and effect ya tatizo wao wanaona sawa tu hata wakikatwa shingo. Demand your rights of being employed by the government you voted for or which stole your votes
 
Back
Top Bottom