Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Ww ndio mwenye funza kichwan... Kipind cha Jk madogo jeshin walikuwa hawarud nyumbn wote walikuwa wanapata ajira lkn sasa hv Op karbu mbili zko mtaani wanazurura tu, walimu walikuwa wanapata ajira fasta tena bila kuomba unakuta umeshapangiwa shule, manesi walikuwa wakipata nafasi bwerere, madaktar wa mifugo nafas zlkuwa znaonekana.... Sasa hv hakuna la maana, mambo yamekuwa hovyoo unachopinga hapo nn??Eeh jk aliweza kuajiri? Una funza kichwani?