Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Mleta mada ulihondika kama umesoma na huna kazi ni sawa na ni haki yako sababu kichwani huna kitu kichwani
Ulitakiwa kama msomi useme baadhi ya ajira zimezimwa uliposema zote zimezimwa ndio ubwege wako nikauona hadi.Serikali imeajiri karibuni walimu na madaktari kibao wewe unasema zote zimezimwa very sad kuwa na wasomi koko kama wewe
 
JK aliweza kufanya hivyo. Kwa Nini iwe kwa JPM, au haelewi maana ya serikali?
Kazi ya serikal ni kutengeneza mchaka wa ajira kupatikana kwa wingi. Wether ni private or gov based.
The issue now serikalin ajira zimepungua sana. Sio kama enzi za jk.
Lazima ujue privaye sector ndio yenye mlango mkubwa wa kuajiri kwa sasa.
Ajira za serikal ni un-predictable kwa sasa
 
Rais wa 2025 nawaza hivi ataweza kufanya comeback kweli??????

Nchi yetu imeharibiwa sana
Tumecheleweshwa sana
As development concerns [emoji16]
Dona kantri[emoji38]
Ana kibarua kigumu sana.
 
Kipindi cha jk walimu walikuwa wanachuliwa vyuoni moja kwa moja na walikuwa hawatoshi. Mtu alimaliza anaajira instantly labda ukatae kazi mwenyewe ka sababu kipindi kile private zilikuwa nyingi na zinalipa. Halafu ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao mpaka polisi. Madaktari mpaka walikuwa wanabembelezwa wakafanye kazi. Ila jpm kaja kuharibu kila kitu
Hakuna Graduate, mfanyabiashara wala mtumishi asiyemkumbuka Kikwete.
 
Wewe ni mjinga, kazi ya serikali sio kuajiri. Huko vyuoni mnaposoma huwa mnaambiwa mkimaliza mtaajiriwa?
Indication nzuri kuwa serikali inafanya vizuri ni kuongezeka kwa ajira .... whether ni za serikali au binafsi. Mostly binafsi. Hiyo ipo dunia nzima ... politicians wanapofanya kampeni wanakwambia watakuja na mbinu gani au watafanya nini ili kuongeza mazingira ya au ukuuaji wa ajira. Ndiyo sababu ya Trump kutamba sana wakati ukosefu wa ajira ulipofikia all time low in the US .... Corona ilipokuja na kupukutisha ajira ameishia kuwa one term president.
 
Mleta mada ulihondika kama umesoma na huna kazi ni sawa na ni haki yako sababu kichwani huna kitu kichwani
Ulitakiwa kama msomi useme baadhi ya ajira zimezimwa uliposema zote zimezimwa ndio ubwege wako nikauona hadi.Serikali imeajiri karibuni walimu na madaktari kibao wewe ungesema zote zimezimwa very sad kuwa na wasomi koko kama wewe
Mkuu hata wewe ni msomi pia??? Mana nyani haonagi kundule😆😆😆😆😆
 
JK aliweza kufanya hivyo. Kwa Nini iwe kwa JPM, au haelewi maana ya serikali?
Usiwe mtumwa wa historia dunia inaenda mbio mno hata kikwete ya Nyerere yalimshinda kipindi cha Nyerere hakuna four au form six aliyekosa kazi serikalini hadi darasa la saba kipindi cha Nyerere waliajiriwa kama walimu shule za msingi wa UPE na maafisa wa jeshi na polisi!!!

Alivyoingia Kikwete hakuendelea nayo sababu wasomi walikuwa kibao!!!

Uskariri ya Kikwete dunia inasonga mbele haiko kwenye past iko kwenye present na future.Ondokana na past mentality kama unataka kutoka kimaisha
 
wasanii wangeimba "JIWE ON THE BUILDING BABY"😆😆😆, Hivi nawaza yeye asingeajiriwa angekuwa hapo alipo???
Yeye hajawahi kujiajiri. Alimaliza shule akasoma Diploma, akaajiriwa kama Mwalimu.
Akaona ualimu haulipi akaenda kusoma maabara ya kemia. Alivyomaliza akaajiriwa.

Baadaye akaokotwa na kina Mkapa huko, akatumika kama chawa. Leo amewakanyagia waya wenzie.

Yaani Ukitaka kujua Jamaa ana roho mbaya, angalia tu namna anavyoishi na mawaziri wake. Hata Pump ya kisima anazindua yeye huku akkiwaporomoshea mawaziri wake matusi.

Kikwete alimpa Uhuru mkubwa sana, akashaini mnoo
 
Hakuna Graduate, mfanyabiashara wala mtumishi asiyemkumbuka Kikwete.
Pilau ya enzi hizo hata iwe nzuri vipi huwezi ila kila banda ya miaka ya Kikwete kupita!!! Dont live in the past live in the present!!!
 
Pilau ya hizo hata ka iwe nzuri vipi huwezi kila banda ya miaka ya Kikwete kupita!!! Dont live in the past live in the present!!!
History haifutiki. Hii inasaidia watu wenye akili kutorudia makosa.

Kama nchi hii itakuja kuruhusu mtu kama Magu kuwa tena Rais nchi hii, nchi itakufa kabisa.

CCM wako kimya ila naamini hata wao wamejifunza.
 
Usiwe mtumwa wa historia dunia inaenda mbio mno hata kikwete ya Nyerere yalimshinda kipindi cha Nyerere hakuna four au form six aliyekosa kazi serikalini hadi darasa la saba kipindi cha Nyerere waliajiriwa kama walimu shule za msingi wa UPE na maafisa wa jeshi na polisi!!!

Alivyoingia Kikwete hakuendelea nayo sababu wasomi walikuwa kibao!!!

Uskariri ya Kikwete dunia inasonga mbele haiko kwenye past iko kwenye present na future.Ondokana na past mentality kama unataka kutoka kimaisha
Ila wewe ni " kaptura" hivi alipotoka Nyerere aliingia Kikwete ! Tanzania hii kumejaa viazi kweli!
 
History haifutiki. Hii inasaidia watu wenye akili kutorudia makosa.

Kama nchi hii itakuja kuruhusu mtu kama Magu kuwa tena Rais nchi hii, nchi itakufa kabisa.

CCM wako kimya ila naamini hata wao wamejifunza.
Kwa taarifa yako nchi ina move forward agua nchi kurudi kwenye laissez fair Type of administration ya Kikwete
Raisi Magufuli kaweka msingi kuwa ukitaka nchi iende uwe mnyapara usichekecheke kama Kikwete iwe na watendaji au wanasiasa
 
Yeye hajawahi kujiajiri. Alimaliza shule akasoma Diploma, akaajiriwa kama Mwalimu.
Akaona ualimu haulipi akaenda kusoma maabara ya kemia. Alivyomaliza akaajiriwa.

Baadaye akaokotwa na kina Mkapa huko, akatumika kama chawa. Leo amewakanyagia waya wenzie.

Yaani Ukitaka kujua Jamaa ana roho mbaya, angalia tu namna anavyoishi na mawaziri wake. Hata Pump ya kizima anazindua yeye huku akkiwaporomoshea mawaziri wake matusi.

Kikwete alimpa Uhuru mkubwa sana,
Kuna jamaa yangu ni mwajiriwa but hamkubali jiwe vibaya. Yani kila ck alikuwa anatwambia hivi Tz kuna rais, ukisema ndiyo anacheka sanaaaaaa. Anasema Tz ina wazr wa ujenzi haina rais inatakiwa tuitishe uchaguzi mpyaaa.

Jamaa alienda mbali zaidi hadi kutamani kuanza kuyasaka maisha ya dona kantri😁, akasema mm nikipewa gun waniambie kamshot na nikifanikiwa au nikishindwa jaribio lngu ila dhamira ionekane hadi watangaze redioni bc familia yangu ipewe kitita kikubwa zaidi. Bc angefanya. Tukamwambia acha mara moja hayo mawazo lkn wapi, sijui huko kazin kwake kupoje mana hapendag kusukumwa ovyo ovyo. Yan ata kwenye zile grp discussion kwake tulikuwa wapole sanaaa japo alikuwa anajiongeza asipo hudhuria anagharamia hela ya kazi yote🤣🤣 miaka miwili saizi nipo mtaani. Kugumu kweli daaaa
 
Kipindi cha jk walimu walikuwa wanachuliwa vyuoni moja kwa moja na walikuwa hawatoshi. Mtu alimaliza anaajira instantly labda ukatae kazi mwenyewe ka sababu kipindi kile private zilikuwa nyingi na zinalipa. Halafu ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao mpaka polisi. Madaktari mpaka walikuwa wanabembelezwa wakafanye kazi. Ila jpm kaja kuharibu kila kitu
Ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao?? Ndio maana nikakuambia wewe ni mjinga
Vijana walioenda JKT kwa lengo la kuajiriwa jeshini na polisi si walidhibitiwa? Tatizo mnasahau mapema Sana
Thread hiyo chini, hebu pitia
 
Sasa jk unaweza mlinganisha na hili dubwasha?
Hebu pitia hapo zamani, maana najua comment yako haikosi. Mlikuwa mnafurahia jk kuondoka na kumtukana matusi yote
 
Back
Top Bottom