Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
WAWE TU WAJARIAMALI! MAANA HAMNA NAMNA..!😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya serikal ni kutengeneza mchaka wa ajira kupatikana kwa wingi. Wether ni private or gov based.JK aliweza kufanya hivyo. Kwa Nini iwe kwa JPM, au haelewi maana ya serikali?
Ana kibarua kigumu sana.Rais wa 2025 nawaza hivi ataweza kufanya comeback kweli??????
Nchi yetu imeharibiwa sana
Tumecheleweshwa sana
As development concerns [emoji16]
Dona kantri[emoji38]
Hakuna Graduate, mfanyabiashara wala mtumishi asiyemkumbuka Kikwete.Kipindi cha jk walimu walikuwa wanachuliwa vyuoni moja kwa moja na walikuwa hawatoshi. Mtu alimaliza anaajira instantly labda ukatae kazi mwenyewe ka sababu kipindi kile private zilikuwa nyingi na zinalipa. Halafu ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao mpaka polisi. Madaktari mpaka walikuwa wanabembelezwa wakafanye kazi. Ila jpm kaja kuharibu kila kitu
Indication nzuri kuwa serikali inafanya vizuri ni kuongezeka kwa ajira .... whether ni za serikali au binafsi. Mostly binafsi. Hiyo ipo dunia nzima ... politicians wanapofanya kampeni wanakwambia watakuja na mbinu gani au watafanya nini ili kuongeza mazingira ya au ukuuaji wa ajira. Ndiyo sababu ya Trump kutamba sana wakati ukosefu wa ajira ulipofikia all time low in the US .... Corona ilipokuja na kupukutisha ajira ameishia kuwa one term president.Wewe ni mjinga, kazi ya serikali sio kuajiri. Huko vyuoni mnaposoma huwa mnaambiwa mkimaliza mtaajiriwa?
wasanii wangeimba "JIWE ON THE BUILDING BABY"😆😆😆, Hivi nawaza yeye asingeajiriwa angekuwa hapo alipo???Ana kibarua kigumu sana.
Mkuu hata wewe ni msomi pia??? Mana nyani haonagi kundule😆😆😆😆😆Mleta mada ulihondika kama umesoma na huna kazi ni sawa na ni haki yako sababu kichwani huna kitu kichwani
Ulitakiwa kama msomi useme baadhi ya ajira zimezimwa uliposema zote zimezimwa ndio ubwege wako nikauona hadi.Serikali imeajiri karibuni walimu na madaktari kibao wewe ungesema zote zimezimwa very sad kuwa na wasomi koko kama wewe
Usiwe mtumwa wa historia dunia inaenda mbio mno hata kikwete ya Nyerere yalimshinda kipindi cha Nyerere hakuna four au form six aliyekosa kazi serikalini hadi darasa la saba kipindi cha Nyerere waliajiriwa kama walimu shule za msingi wa UPE na maafisa wa jeshi na polisi!!!JK aliweza kufanya hivyo. Kwa Nini iwe kwa JPM, au haelewi maana ya serikali?
Yeye hajawahi kujiajiri. Alimaliza shule akasoma Diploma, akaajiriwa kama Mwalimu.wasanii wangeimba "JIWE ON THE BUILDING BABY"😆😆😆, Hivi nawaza yeye asingeajiriwa angekuwa hapo alipo???
Pilau ya enzi hizo hata iwe nzuri vipi huwezi ila kila banda ya miaka ya Kikwete kupita!!! Dont live in the past live in the present!!!Hakuna Graduate, mfanyabiashara wala mtumishi asiyemkumbuka Kikwete.
Tumekabidhi nchi kwa mshamba na limbukeni.Hiyo ndiyo gharama ya kuweka dubwasha ikulu
History haifutiki. Hii inasaidia watu wenye akili kutorudia makosa.Pilau ya hizo hata ka iwe nzuri vipi huwezi kila banda ya miaka ya Kikwete kupita!!! Dont live in the past live in the present!!!
Ila wewe ni " kaptura" hivi alipotoka Nyerere aliingia Kikwete ! Tanzania hii kumejaa viazi kweli!Usiwe mtumwa wa historia dunia inaenda mbio mno hata kikwete ya Nyerere yalimshinda kipindi cha Nyerere hakuna four au form six aliyekosa kazi serikalini hadi darasa la saba kipindi cha Nyerere waliajiriwa kama walimu shule za msingi wa UPE na maafisa wa jeshi na polisi!!!
Alivyoingia Kikwete hakuendelea nayo sababu wasomi walikuwa kibao!!!
Uskariri ya Kikwete dunia inasonga mbele haiko kwenye past iko kwenye present na future.Ondokana na past mentality kama unataka kutoka kimaisha
Kwa taarifa yako nchi ina move forward agua nchi kurudi kwenye laissez fair Type of administration ya KikweteHistory haifutiki. Hii inasaidia watu wenye akili kutorudia makosa.
Kama nchi hii itakuja kuruhusu mtu kama Magu kuwa tena Rais nchi hii, nchi itakufa kabisa.
CCM wako kimya ila naamini hata wao wamejifunza.
Kuna jamaa yangu ni mwajiriwa but hamkubali jiwe vibaya. Yani kila ck alikuwa anatwambia hivi Tz kuna rais, ukisema ndiyo anacheka sanaaaaaa. Anasema Tz ina wazr wa ujenzi haina rais inatakiwa tuitishe uchaguzi mpyaaa.Yeye hajawahi kujiajiri. Alimaliza shule akasoma Diploma, akaajiriwa kama Mwalimu.
Akaona ualimu haulipi akaenda kusoma maabara ya kemia. Alivyomaliza akaajiriwa.
Baadaye akaokotwa na kina Mkapa huko, akatumika kama chawa. Leo amewakanyagia waya wenzie.
Yaani Ukitaka kujua Jamaa ana roho mbaya, angalia tu namna anavyoishi na mawaziri wake. Hata Pump ya kizima anazindua yeye huku akkiwaporomoshea mawaziri wake matusi.
Kikwete alimpa Uhuru mkubwa sana,
Na waliotumwa Vitani Wamepoteza Ramani.Nchi ipo vitani.
Sasa jk unaweza mlinganisha na hili dubwasha?Eeh jk aliweza kuajiri? Una funza kichwani?
Ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao?? Ndio maana nikakuambia wewe ni mjingaKipindi cha jk walimu walikuwa wanachuliwa vyuoni moja kwa moja na walikuwa hawatoshi. Mtu alimaliza anaajira instantly labda ukatae kazi mwenyewe ka sababu kipindi kile private zilikuwa nyingi na zinalipa. Halafu ukitaka kwenda jeshi nafasi zilikuwa kibao mpaka polisi. Madaktari mpaka walikuwa wanabembelezwa wakafanye kazi. Ila jpm kaja kuharibu kila kitu
Hebu pitia hapo zamani, maana najua comment yako haikosi. Mlikuwa mnafurahia jk kuondoka na kumtukana matusi yoteSasa jk unaweza mlinganisha na hili dubwasha?