Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Haha we kenge wa rumumba mikelele yako humu haibadirishi ukweli kwamba serikali awamu ya tano ni failure
Imefeli au wewe ndio umefeli? Utaishia kulialia tu humu
Ila Kama ni mwanaume, basi ni hasara Sana kwa kuwa hutaweza kufanya chochote
 
About democracy, kila nchi ina democracy yake, kwa sababu tuna utamaduni tofaut, assume bint ako mwenye 15yrs old aje na boyfriend kumtambulisha kwako, Kama unaona it's okay bas democracy yetu inabid ifanane na ya whites, Kama unaona haifai bas ndo na ss Africa tuna limitations zetu kwenye democracy
Hujui maana ya democracy kumbe
 
Ukiona wanaojiita wasomi wako mtaani wanalalamika na ajira na bado hawajui wafanye nini basi na huko ccm wapo wa aina hiyo tuu.
Ndio hao wanaomtumia pesa Ontario ili wadownload pesa?
Msomi wa kweli hayupo mtaani kulialia
 
Washikaji zangu 6 niliokuwa nao mtaani walipata ajira jeshini mwaka 2008 na hii ni baada ya kumaliza form four na matokeo hayakuwa mazuri

Sasa leo hii Tanzania ya jiwe unaweza kupata ajira jeshini kirahisi Ivo!? Tena ukiwa form four failure
Mahitaji ya jeshi yapo unlimited? Yaani waendelee tu kuajiri? Hata wakiwa wanajeshi milioni sawa tu?
 
Serikali kama imeshindwa kuwa ajiri watu isiwasomeshe, kumsomesha mtu usimuajiri,moja ni wastage of precious time,and second mtu huyu uliyemsomesha kama hatakua productive kwenye uchumi wetu kwa kutompa ajira, hii inaongeza economic burden katika familia na nchi yetu kwa ujumla
N ngaz gan ya elimu au coz gan uliambiwa you will be employed by the government 🤔😂, seems niny ndo wenye vyeti vya degrees but vichwa vya STD 7
 
We mwenyewe hapo ulipo ni ubishi tu. Huna ajira au Kama una ajiri rafiki zako au ndugu zako wanateseka ila hutaki kukiri uozo wa serikali kwa sababu ama una ajiri ndogo au unatetea chama Chalo kinachokosa mvuto kila kukicha kinabaki kinategemea jeshi na polisi kubaki madarakani Kama bashiru alivyosema
Kumbe una stress za uchaguzi? Mimi sipo huko
Sitakuja kuilaumu serikali kuhusu ajira kwa kuwa nimepewa akili nikaongezea na kusoma.
Wewe endelea kulialia tu umri unasogea
 
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Wanatia huruma sana
 
Mi silii nawaonea huruma vijana wanaomaliza kipindi hiki chini ya huyu dictator anay jari barabara kuliko watu. Mi Nina ajira nzito nilimaliza enzi za jk moenda watu
Ajira nzito ya kupost jf?
Ungekuwa nayo Wala usingekuja humu kutia huruma
 
Kuweni waizi tu wakuu, yaani ni kupiga dili tu wewe usiwaze sana chungulia tu udhaifu fanya mambo.

Yaani wewe tafuta mke wa jamaa mmoja mtongoze upate mtaji, si waume zao wanasema vijana mjiajiri sasa tafuteni mtaji kwa hela zao za mboga. Piteni na wake zao tu vibosile wapate stress

Ikishindikana zaidi subirini 2025
 
Demokrasia gani ya kuchapana risasi hadharani na kuiba kura mchana kweupe na kuzima internet ili iwe rahisi kuiba
Mbona hueleweki? Unazungumzia kuibiwa kura au kukosa ajira?
Unataka nikusaidie lipi Kati ya hayo mawili?
 
N ngaz gan ya elimu au coz gan uliambiwa you will be employed by the government 🤔😂, seems niny ndo wenye vyeti vya degrees but vichwa vya STD 7

ndio mlivyo msiosoma ku attack mtu badala ya hoja, Courses ZOTE lazima wawe employed na serikali,only wachache ndio waaachiwe private sector,..again, kumsomesha mtu usimpe ajira,ni bora hio hela umpe ajisimamie baada ya miaka 3 ya kuinvest muda wake na pesa uliyompa,kutakua na matokeo chanya..sio sawa na kumsomesha kumpotezea muda..wether unakubali na kukataa utajiju!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kuweni waizi tu wakuu, yaani ni kupiga dili tu wewe usiwaze sana chungulia tu udhaifu fanya mambo.

Yaani wewe tafuta mke wa jamaa mmoja mtongoze upate mtaji, si waume zao wanasema vijana mjiajiri sasa tafuteni mtaji kwa hela zao za mboga. Piteni na wake zao tu vibosile wapate stress

Ikishindikana zaidi subirini 2025
2025??mmeshasahau 2020? Si mlisema Sasa basi??
 
Mbona hueleweki? Unazungumzia kuibiwa kura au kukosa ajira?
Unataka nikusaidie lipi Kati ya hayo mawili?
We si umesema semocrasia na mi nimrkujibu accordingly Mana inaonekana hujui udictator wa rais wako
 
ndio mlivyo msiosoma ku attack mtu badala ya hoja, Courses ZOTE lazima wawe employed na serikali,only wachache ndio waaachiwe private sector,..again, kumsomesha mtu usimpe ajira,ni bora hio hela umpe ajisimamie baada ya miaka 3 ya kuinvest muda wake na pesa uliyompa,kutakua na matokeo chanya..sio sawa na kumsomesha kumpotezea muda..wether unakubali na kukataa utajiju!
Serikali haiwezi fanya huo ujinga wa kuajiri kila Mtu.
Wewe baki humu kulialia tu, muda ukifika nenda mezani utakuta shemeji kishakutafutia chakula
 
Vichwa vya STD 7?? Aringe? Huyo amefeli STD 4

na wewe ambae hukufika la 4, tukusaidieje???,nimeona majibu yako ya kitoooooootoooo..una attack watu badala ya kujenga hoja,anyway ni utoto tu unakusumbua na ugeni,ukiizoea JF utakua matured zaidi katika majibu yako,kwa sasa inabidi tuvumilie tu mapumba yako!
 
Back
Top Bottom