Wanaombeza Polepole hadi sasa hawajui kwanini ameachia ngazi tofauti na mambo aliyoyaandika

Wanaombeza Polepole hadi sasa hawajui kwanini ameachia ngazi tofauti na mambo aliyoyaandika

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Chawa wa mama wanahangaika na dude kubwa ambalo limetoka kwenye tanuru la moto baada ya kuona nchi inaendelea kuendeshwa kihuni ,Slow slow akaambiwa sema sisi tupo nyuma yako na tutashinda , sloslow ana pdf ya taarifa zote jinsi nchi hii inavyonajisiwa kwa kivuli cha mama anaupiga mwingi ,

Nchi imekuwa kama genge la wahuni watu wanatekwa na kupotea mahakama zimekuwa kama mapango yamaelekezo makanisa yanafungwa viongozi wa dini wanapigwa mchana kweupe na hakuna kukemea ,wahuni wapo tu kumpumbaza yule mama yao kutoa michango makanisani akiamini aratuliza joto ! Wafia nchi wamekataa wanesema hapana yule hafai anafaa kuanikwa kila kitu na kukataliwa kabisa.

Polepole siyo wamchezo kwa sasa ni jasiri na kila taarifa anayo katika mambo aliyoyaongea ni asilimia 5%tu bado ana 95 zimebaki

Wale wahuni wameona waweke wacheza sinema wamjibu slow slow si mwenezi alitaka kujibu akaambiwa acha yule kijana tunamjuwa ana mengi .

Chawa nawaambia endeleni kusema tunatamba nae october tunatiki hamjui yasirini kwa kuwa mumezoea kupewa vijisenti vya kusifia.
 
Wahusika wanaogopa chawa hawaelewi wanapiga porojo akiachia mambo ya Abduction hapo watu wanapoteana akisema liwalo na liwe🤣🤣🤣🤣 ila chawa wanadhani huu mtanange mwepesi tu mana yale aliyoongea ni mazito

No reform No Election
 
Chawa wa mama wanahangaika na dude kubwa ambalo limetoka kwenye tanuru la moto baada ya kuona nchi inaendelea kuendeshwa kihuni ,Slow slow akaambiwa sema sisi tupo nyuma yako na tutashinda , sloslow ana pdf ya taarifa zote jinsi nchi hii inavyonajisiwa kwa kivuli cha mama anaupiga mwingi , nchi imekuwa kama genge la wahuni watu wanatekwa na kupotea mahakama zimekuwa kama mapango yamaelekezo makanisa yanafungwa viongozi wa dini wanapigwa mchana kweupe na hakuna kukemea ,wahuni wapo tu kumpumbaza yule mama yao kutoa michango makanisani akiamini aratuliza joto ! Wafia nchi wamekataa wanesema hapana yule hafai anafaa kuanikwa kila kitu na kukataliwa kabisa.

Sloslow siyo wamchezo kwa sasa ni jasiri na kila taarifa anayo katika mambo aliyoyaongea ni asilimia 5%tu bado ana 95 zimebaki
Wale wahuni wameona waweke wacheza sinema wamjibu slow slow si mwenezi alitaka kujibu akaambiwa acha yule kijana tunamjuwa ana mengi .
Chawa nawaambia endeleni kusema tunatamba nae october tunatiki hamjui yasirini kwa kuwa mumezoea kupewa vijisenti vya kusifia.
Nzuri
 
Back
Top Bottom