Wanaombeza Rais Samia watashangazwa na yajayo

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,281
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
 
Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimywa wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Wishful thinking.
 
Hana lolote
 
Mtoa mada sasa kama umetuhabarisha taarifa ya tetesi si bora ungewataja tu hao vigogo?
Vipi Mwigulu nae yumo?.
 
Kawekwa mtu kati na zile camp mbili haelewi aelekee wapi, yeye bado anawaza kumfurahisha kila mmoja huku maelekezo anayotoa kwa wasaidizi wake hayafanyiwi kazi, namsubiri ahutubie angalau tusikie ile sauti yake ya upole.
 
Washangae mara ngapi? Hii move ya Gaidi Abubakar hawakuitegemea kabisa. Napenda viongozi kama Samia, watu wanatukana na kupiga makelele mitandaoni yeye anauchuna na kupiga mishe zake tu. Mojawapo ya makosa ya jpm ilikuwa kuumizwa moyo na wapiga kelele wa mitandaoni
 
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Huyo bwana ni yupi?
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha....zigo la mama hilo ala hamna kumtetea au kutafuta mchawi. Utais sio kurembua tu...
 
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha

2851283_20210716_160047.jpg
 
hilo jina la mama mnalomuita ndio linamponza,Rais au Amiri Jeshi mkuu lina nguvu kidogo nchi ishamshinda hii.
 
Naunga mkono hoja,madam President ampige chini PM afu Baraza la mawaziri lote litoke then afanye mabadiliko makubwa kwenye vyombo vya dola ndio atakuwa free kupeleka mbele ajenda zake.

Kwenye Chama taratibu aanze kuwashikisha adabu watakaokenua meno ikiwemo kuwafukuza chama na kuwqtisha.

Inafika point lazima haya yatokee Ili kujenga nidhamu,utiifu na uwajibikaji kwa serikali.Hili hata Magu alilifanya kwa kina Nape nk hadi akashika hatamu licha ya kuingia akiwa hana ushawishi kwenye vyombo vya dola na Chama.
 
Back
Top Bottom