Wanaombeza Rais Samia watashangazwa na yajayo

Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Tumehisi hivyo.
 
Dereva kalala Sana maagizo yake watendaji wake wanayadharau
 
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Nchemba yupo kuelekea kwa mafundi wake utashangaa anabadilishiwa wizara tu.
 
Naunga mkono hoja,madam President ampige chini PM afu Baraza la mawaziri lote litoke then afanye mabadiliko makubwa kwenye vyombo vya dola ndio atakuwa free kupeleka mbele ajenda zake.

Kwenye Chama taratibu aanze kuwashikisha adabu watakaokenua meno ikiwemo kuwafukuza chama na kuwqtisha.

Inafika point lazima haya yatokee Ili kujenga nidhamu,utiifu na uwajibikaji kwa serikali.Hili hata Magu alilifanya kwa kina Nape nk hadi akashika hatamu licha ya kuingia akiwa hana ushawishi kwenye vyombo vya dola na Chama.
Hakuna haja ya kutishiana au kufukuzana kwa majungu, afanye kazi tuu kwa bidii na awe mwaminifu, watu sio wajinga wataona tuu na ataongoza vizuri sana, cheo dhamana tuu fanya kazi vizuri uondoke zako
 
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Ngoja tuyasubiri ingawaje utabiri wenu mara nyingi huwa mere illusions!
 
Yaani kushitakiwa gaidi Mbowe ndo sabotage au?!
Mlienda kulia kwa wazungu na Tv zao naona mgonga mwamba mnarudi kumfanyia maagizi. Nasema ivi lile gaidi lisipate dhamana kabisa
 
HUKU MTAANI TUSHAKUBALI MATOKEO KWAMBA KESHA FAIL NILIKUWA SHABIKI WAKE ILA NIMENYOOSHA MIKONO JUU , SHE WILL BE THE WORST PRESIDENT EVER.
 
Mama anapelekeshwa km wind vane! Yaani kina mwigulu na gwaji boy wanampelekesha km loose ball!
 
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Chama dola
Screenshot_20210725-085935_Twitter.jpeg
 
Mh Rais anafanya la maana kukaa kimya na kufanya kazi badala ya kujibizana na mashujaa wa mitandaoni.
 
Back
Top Bottom