Wanaombeza Rais Samia watashangazwa na yajayo

Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Yupo wapi kwani?
 
Unamaanisha anaenda kung'atuka?? Maana jambo la kushangaza ni kung'atuka tu mengine yote tumeshaona ndani mwezi huu unaoisha (July).
 
Anasubiri nini? na huyo anayefanya sabotage ni nani? sema tuu unaficha ficha kitu gani usituletee umbeya
 
Majaliwa, Mwigulu, Ndugulile, Ummy, Gwajima, huyo mrundi Mpango pia ila sijui kama kumpiga chini huyo inawezekana na yule Gwajiboy kumfukuza chama.
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
 
Washangae mara ngapi? Hii move ya Gaidi Abubakar hawakuitegemea kabisa. Napenda viongozi kama Samia, watu wanatukana na kupiga makelele mitandaoni yeye anauchuna na kupiga mishe zake tu. Mojawapo ya makosa ya jpm ilikuwa kuumizwa moyo na wapiga kelele wa mitandaoni
Yah Rais Samia anafanya la maana kutoonyesha kuumizwa na matusi ya mitandaoni.

JPM alikuwa very sensitive na maneno ya watu nadhani sababu ni moyo wake uliokuwa na matatizo.
 
Kawekwa mtu kati na zile camp mbili haelewi aelekee wapi, yeye bado anawaza kumfurahisha kila mmoja huku maelekezo anayotoa kwa wasaidizi wake hayafanyiwi kazi, namsubiri ahutubie angalau tusikie ile sauti yake ya upole.
Ana lugha ya kiungwana yenye kumtuliza msikilizaji.

Camp mbili zipi hizo?.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Washangae mara ngapi? Hii move ya Gaidi Abubakar hawakuitegemea kabisa. Napenda viongozi kama Samia, watu wanatukana na kupiga makelele mitandaoni yeye anauchuna na kupiga mishe zake tu. Mojawapo ya makosa ya jpm ilikuwa kuumizwa moyo na wapiga kelele wa mitandaoni
I agree with you
 
Majaliwa, Mwigulu, Ndugulile, Ummy, Gwajima, huyo mrundi Mpango pia ila sijui kama kumpiga chini huyo inawezekana na yule Gwajiboy kumfukuza chama.
Bavicha mmeanza kuratibu hadi maswala ya mtu kufuzwa chama tena chama chenyewe ni CCM? Nafikiri mlijisahau sana na kuhisi labda mama atakuwa kinyume na CCM kana kwamba ametokea CHADEMA.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Washangae mara ngapi? Hii move ya Gaidi Abubakar hawakuitegemea kabisa. Napenda viongozi kama Samia, watu wanatukana na kupiga makelele mitandaoni yeye anauchuna na kupiga mishe zake tu. Mojawapo ya makosa ya jpm ilikuwa kuumizwa moyo na wapiga kelele wa mitandaoni
Sio afya hata kidogo kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuuchuna na kuacha malalamiko yenye tija kwa wananchi anao waongoza.

Utamsifia lakini duku duku la moyoni ni baya sana. Huku mtaani kila mtu anaguna. Acha mitandaoni. Huwezi kujua kwakua unanifaika na system na huna haja na watu wa hali ya chini.

Mimi nipo huku chini. Wote waliodhani mama ana afadhari, wanajutia kufanya maamuzi mapema.
Ni dalili mbaya sana. Najua wanayo mamlaka na viburi vya kiutawala. Ila haya manung'uniko ya wenye nchi, hayaleti mema hata kidogo
 
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Nimebarikiwa mimi nisiyetumaini lolote kutoka kwao, kwani matokeo yoyote hayatanivunja moyo.
 
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.

Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka

Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Wewe ukikosa tu unachokitamani unaomba Baraza Livunjwe?

Rais anajua anachokifanya.
 
Back
Top Bottom